Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Kweli kabisa mkuu, ila tuombe wachezaji wasiwe majeruhi.Ila kwa sasa binafsi ninachanganyikiwa juu ya hawa wachezaji, Willian, Pedro, Hazard, Morata na Faby.
Hawa jamaa wanatulipa fadhila zetu sisi mashabiki wa Chelsea mana wanayafanya majukumu yao vzr sn.
Na hii mifumo ya Conte safari hii Hakuna team yoyote itakayo tufunga tena iwe awe away au home ni City tu ndio aliebahatisha
Mkuu, ukiwa na Full kikosi bila majeruhi kipi kitakuwa kikosi chako cha kwanza?Ila kwa sasa binafsi ninachanganyikiwa juu ya hawa wachezaji, Willian, Pedro, Hazard, Morata na Faby.
Hawa jamaa wanatulipa fadhila zetu sisi mashabiki wa Chelsea mana wanayafanya majukumu yao vzr sn.
Na hii mifumo ya Conte safari hii Hakuna team yoyote itakayo tufunga tena iwe awe away au home ni City tu ndio aliebahatisha
Mmmmh inategemea na mfumo tutakao kua tunacheza.Mkuu, ukiwa na Full kikosi bila majeruhi kipi kitakuwa kikosi chako cha kwanza?
Hujamtendea haki Christensen kabsaaaaa, chagua moja Kati ya Luiz au cahil ampishe huyu dogoMmmmh inategemea na mfumo tutakao kua tunacheza.
Km ni 3+4+3 kipa ni Courtois.
Mabeki watatu ni Azpilicueta +Luiz +Cahill.
Wingbacks na mids ni Moses + Faby + Kante + Alonso.
Attackers na striker. Ni Willian +Morata +Hazard.
Sub hapo ni Pedro, Christensen, Rudiger, Zappacosta, Cabanero, Bakayoko na Drinkwater.
Tukiwa ktk 3+5+2
Basi golini ni Courtois.
Mabeki watatu ni Azpilicueta+Luiz+Cahill.
Mids.
Moses + Faby + Kante +Bakayoko na Alonso.
Strikers ni Hazard na Morata.
Sub hapo inajulikana.
Napenda utulivu wake huyu bwana mdogoHujamtendea haki Christensen kabsaaaaa, chagua moja Kati ya Luiz au cahil ampishe huyu dogo
Luiz japokua hapa Kati kumetokea shida kidogo lkn Luis awapo uwanjani hua km ni Kiongozi. Hasa ukizingatia ile nafasi anayocheza ujenzi wa mashambulizi na ulinzi wa mwisho hua hapo kwake. So dogo Andy ktk kuwaongoza wenzake tu hapo ndio anazidiwa na Luiz.Hujamtendea haki Christensen kabsaaaaa, chagua moja Kati ya Luiz au cahil ampishe huyu dogo
HakunaMkuu, ukiwa na Full kikosi bila majeruhi kipi kitakuwa kikosi chako cha kwanza?
Beki sio mshambuliajiChelsea wanatarajiwa kumnunua beki wa Juventus Alex Sandro ,26, mwezi Januari baada ya kushindwa kumsajili mshambuliaji huyo wa Brazil mwaka uliopita.(Daily Express)
Mmmmh inategemea na mfumo tutakao kua tunacheza.
Km ni 3+4+3 kipa ni Courtois.
Mabeki watatu ni Azpilicueta +Luiz +Cahill.
Wingbacks na mids ni Moses + Faby + Kante + Alonso.
Attackers na striker. Ni Willian +Morata +Hazard.
Sub hapo ni Pedro, Christensen, Rudiger, Zappacosta, Cabanero, Bakayoko na Drinkwater.
Tukiwa ktk 3+5+2
Basi golini ni Courtois.
Mabeki watatu ni Azpilicueta+Luiz+Cahill.
Mids.
Moses + Faby + Kante +Bakayoko na Alonso.
Strikers ni Hazard na Morata.
Sub hapo inajulikana.
Vizuri sana mkuuKante ana namba ya kudumu hapo ila kama unafuatilia Ruben Loftus-Cheek anachokifanya pale Palace kuna uwezekano akarudishwa January hii ,the hilo dimba ya kati linaweza kuvurugwa muda wowote.
Tatizo langu ni hiyo combination ya Cahill na Luiz ,yaani siku Luiz akiperform vibaya Cahill utamuona hafai kabisa , in short huu mfumo wa kuwa na beki 3 nyuma unahitaji mabeki wenye utulivu wa akili sana kitu ambacho both Luiz na Cahill huwa wanakipoteza mara kwa mara uwanjani , nafikiri kama tunaendelea na Conte hawa mabeki wawili wajiandae kisaikolojia tu ,hawa madogo Christensen & Rudiger & Zappacosta na Kennedy wakomae tu, namba zao bado ziko hapo kikosini.
sijui ni mimi tu ila hapo mbele nina prefer Pedro mbele ya Willian ,Morata anahitaji competition ya namba zaidi ya
Bats .
il kwa sasa tuendelee na "don't fix what's not broken"
Hapo mwishoni nashawishika kukubaliana nawe sana...Kante ana namba ya kudumu hapo ila kama unafuatilia Ruben Loftus-Cheek anachokifanya pale Palace kuna uwezekano akarudishwa January hii ,the hilo dimba ya kati linaweza kuvurugwa muda wowote.
Tatizo langu ni hiyo combination ya Cahill na Luiz ,yaani siku Luiz akiperform vibaya Cahill utamuona hafai kabisa , in short huu mfumo wa kuwa na beki 3 nyuma unahitaji mabeki wenye utulivu wa akili sana kitu ambacho both Luiz na Cahill huwa wanakipoteza mara kwa mara uwanjani , nafikiri kama tunaendelea na Conte hawa mabeki wawili wajiandae kisaikolojia tu ,hawa madogo Christensen & Rudiger & Zappacosta na Kennedy wakomae tu, namba zao bado ziko hapo kikosini.
sijui ni mimi tu ila hapo mbele nina prefer Pedro mbele ya Willian ,Morata anahitaji competition ya namba zaidi ya
Bats .
il kwa sasa tuendelee na "don't fix what's not broken"
Tatizo liko wapi mkuu?Kikosi cha leo nacho ni majaribio haya..
Labda kwa kuwa ni Swansea tutashinda...