Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #44,941
Nadhani lengo la Klopp ni kuwachosha wachezaji wa Chlesea kwanza kidogo ndipo aingize majembe.Leo ata liver kapanga kikosi kwa woga. Majembe mengine kaweka benchi wakati Conte ktk upande wa kiungo ameimarisha vibaya sn kwa kumuweka Danny
Benchi lao ni dhaifu hivyo kaonelea hivyo na walau apate draw!Wenzentu huko sijawaelewa kabisa wamefanya nini Firmino, Mane na Wijnaldum nje
Hiyo plan yake ni mbovu na ameonyesha woga ktk hilo.Nadhani lengo la Klopp ni kuwachosha wachezaji wa Chlesea kwanza kidogo ndipo aingize majembe.
Sasa kabla hajaingiza majembe yake anatakiwa awe ameloa hata tatu mapema sana
Tena za kutosha ili hata hao watakaoingia waone hakuna cha kufanya tenaBenchi lao ni dhaifu hivyo kaonelea hivyo na walau apate draw!
Vha maana hapa ni kumfunga ndani ya dk 45 za mwanzo
Mmhh! Are you chezea?...The blues[emoji123][emoji123][emoji123]
Wakuu; nipo kwa luninga kuhakikisha maneno yangu; azp yupo upande wa kushoto kupambana na sarah; tactical sarah atakabiwa juu na Alonso akivuka salama anakutana na stop engine Azp. Combination ya mnywa maji na kante sina wasiwasi kabisa. Hii ni physical game pia bakayoko naona ni selection nzuri - fab asubiri.
Matumaini mapya kwa Chelsea kutetea ubingwa wake, ni kurudi form kwa Hazard pamoja na kijana mpya toka Madrid Morata - Tushuhudie makubwa yale ya juzi cha mtoto.
Atoke bakayoko. Honestly jamaa simuelewagi anachofanya uwanjaniTunacheza kwa kujihami sana. Sio mbaya kujihami ila Conte kaenda game ya leo kutaka kucheza counter attack, matokeo yake bila Fabregas hakuna mipira inafika kwa Morata au Hazard mpaka Hazard aje kuchukua ndani kabisa huku.
Drinkwater na Bakayoko wanacheza mchezo ufanano naona. Ni bora kati ya mmoja wao atoke aingie Fabregas kwa kweli
True..Tunacheza kwa kujihami sana. Sio mbaya kujihami ila Conte kaenda game ya leo kutaka kucheza counter attack, matokeo yake bila Fabregas hakuna mipira inafika kwa Morata au Hazard mpaka Hazard aje kuchukua ndani kabisa huku.
Drinkwater na Bakayoko wanacheza mchezo ufanano naona. Ni bora kati ya mmoja wao atoke aingie Fabregas kwa kweli
Liva wabovu sana kwenye defence hii game mngecheza na kikosi Chenu cha Kila siku mngewafunga.Ingiza fab na Pedro.. Morata alishwe mipira....Beki hakuna livaTunacheza kwa kujihami sana. Sio mbaya kujihami ila Conte kaenda game ya leo kutaka kucheza counter attack, matokeo yake bila Fabregas hakuna mipira inafika kwa Morata au Hazard mpaka Hazard aje kuchukua ndani kabisa huku.
Drinkwater na Bakayoko wanacheza mchezo ufanano naona. Ni bora kati ya mmoja wao atoke aingie Fabregas kwa kweli
Yaani hata sio lazima Pedro, Fabregas tu akacheze na mpira awe ana-link mipira kati ya forward na kiungo basi. Pendo kuingia inamaana viungo wawili watoke, tutaonewa sana kiungo akiwa Kante na Fabregas pekee.Liva wabovu sana kwenye defence hii game mngecheza na kikosi Chenu cha Kila siku mngewafunga.Ingiza fab na Pedro.. Morata alishwe mipira....Beki hakuna liva
[emoji86] [emoji85] [emoji144]Chelsea wakirudisha itakuwa poa ila wakipigwa la pili ITAPENDEZA....