Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila kuna saa Morata akicheza unahisi Torres amerudi Chelsea....

Anyway, kwa leo namsamehe hakutaka kuumia...
Ilikua ni easy game km kupasha misuli moto na Hazard ilikua apumzishwe ndio mana umemuona hivo. Ktk siku ya lfc huwezi ona huo itumbo aliofanya
 
kuna match jumamosi mkuu
hiyo ni muhimu sana kushinda kuliko maelezo

Nami kwa leo nimemsamehe maana game mbili za mwisho amecheza vyema sana..ameonesha kuongezeka stamina...sasa hizi dakika 20 za leo kaniogopesha kweli kweli!

Heheheheh yani mpaka nikahisi ni Torres aisee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…