Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

WAKUU TATIZO CONTE MSIMU ULIO PITA ALICHUKUA UBINGWA KWA KIKOSI CHA JOSE
SAIZI ANASAJILI WATU WASIO ELEWEKA ONA TIMU YETU INAVYO FANYA DAAH


sasa kwanini jose hakuchukua epl na kikosi cha van gaal????????
david moyes na kikosi cha saf????????
van gaal na kikosi cha the choosen one je?????????
na mourinho kasajili ubingwa atausikia twitter tu.
 
Mkuu unashindwa kuelewa na hii inatokana na either una asili ya ubishi au humpendi tu cahill.
Swali langu ni moja kwako as a defender Cahill kafanya kosa gani katika haya magoli tunayofungwa hivi karibuni hadi useme Captain ana kiwango kibovu?
Ntajie goli ambalo tumefungwa limetokana na makosa ya Cahill.
Kitendo cha ari na morali ya timu kushuka ni kutokana na kukosa matokeo mazuri hivi karibuni siyo kwamba eti Captain ndo apandishe morali ya timu.Mbona 2015/2016 wakati Mourinho anapata matokeo mabovu Captain alikuwa Terry na timu haikuwa na ari wala morali why? au nae kiwango kilikuwa kibovu?
Yaani unataka kunambia tatizo la Chelsea ni Cahill tu?
Captain ana play part yake na inaonekana kama we huioni basi ni una matatizo yako binafsi mkuu
 
Kwahiyo kuitwa timu ya taifa hakutegemei kiwango wala ubora bali ni taifa lenyewe siyo hahaha we jamaa hoja zako hazina mashiko aisee?
Naona niache kukujibu mkuu
 



mkuu unaonekana na wewe una matatizo yako binafsi, kwanini unamkingia kifua cahil???????
hivi unadhani ni mimi tu nnae ona cahili hafai?????? kwanini kundi lote.
nimekutajia hadi kocha wa crystal palace anayemjua fika cahili kuliko sisi coz kam coach national team then anakwambia aliwaambia akina zaha watarget angle ambayo cahili yupo??????
wewe na hodgson nani anamjua zaidi cahili??????? kama huna asili ya ubishi au mahaba na cahili nini??????
hodgson aliekuwa n
ae nationa team.
nijibu kwanza kati yako wewe na roy hodgson nani anamjua zaidi cahil????????
 
Nimeshajibu hii hoja huko juu siwezi kurudia kukujibu kitu kimoja zaidi ya mara moja kwasababu hata nikikujibu utauliza na vyengine ambavyo ni vya design hiyo ni vyema ukabaki na misimamo yako na mimi nikabaki na misimamo yangu.
 
Kwahiyo kuitwa timu ya taifa hakutegemei kiwango wala ubora bali ni taifa lenyewe siyo hahaha we jamaa hoja zako hazina mashiko aisee?
Naona niache kukujibu mkuu


nimekuuliza wewe na roy hodgson nani anamjua zaidi cahili??????????? nijibu kwanza hapa ndo tuanzie.
then tuje wewe na thierry henry aliewahi cheza nae na ni pundit nani anamjua zaidi cahili????????
hata kama ni kumpenda mchezaji ila sio kama wewe ufanyavo.
mbona mimi WILLIAN ni my favourite player ila currently hajitumi kaflloppy na raia wanadai apigwe bench na sipingi nakubaliana nao kwa manufaa ya team.
acha kutufanya hatuoni wakati tunaona.
karbia 80% chelsea fans hawapendi cahili aanze, then unataka kutuambia sisi majority hatuoni ila nyie minnors ndo mnaona cahili ana mazuri.
 
Mashabiki maandazi achana nao kbisa Mkuu...

Yaaani wao wanangojea timu iboronge kisha waongee shombo
 
- ulimsikia thierry henry anavomuelezea cahil kuwa ndo weak point ya chelsea??????


- ulimsikia roy hodgson baada ya kutufunga aliongea kuwa aliwapanga akina zaha wam target cahil ndo weak point???????

Sikatai udhaifu wa Cahill.

Lakini mkuu naomba link za hizo comment mbili hapo juu tafadhali. Natanguliza shukrani.
 
Kama hatuna midfielders wengine zaidi ya Fabregas basi kwa kesho anaweza kupanga 4-3-3

Yaani;
Rudiger, Cahill, Christensen, Azpilicueta; Alonso, Fabregas, Zappacosta, Hazard, Morata, Pedro.

Hata akitaka kubaki na 3-4-3 bado Pedro anaweza kucheza mid vyema kabisa. Bado sioni majeruhi tuliyonayo yatazuiaje sisi kushinda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…