Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]say MORATA DAY .....we deserve to win ...Chelsea champion hahaha. ....wale wa upande wa pili walishikwa shati na uyu uyu Stocke. ....leo sijui imekuwajee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Goli lake la pili (la tatu kwa Chelsea) lilikuwa la nguvu sana, yaani goli lenye kuonyesha mchezaji kakamilika kila idara, Mbio, dribbling skills, na skills za kufunga, kwa kweli kanifurahisha sana, ndio striker anapashwa kuwa hivyo
 

Kama sio mfungaji ni vigumu kufunga goli la kwanza la morata na la tatu ameyafunga kwenye engo ngumu sana
Hat-trick ya kwanza kwa chelsea toka 2014
Na hatrick ya kwanza ya morata
Game 6
Goal 6
Assist 2
Well done morata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…