Hiv naomba niulize, huyo Alvaro ni politician au ni footballer??? Mi hata sielew, maana naona ana mineno mingi, mara I've two goals frm my head. Cjui nn na nn!!! Hamuon mwenzake lukaku vitendo vinavyozungumza?! Ndiyo maana zizou lilimtema. Ss hiv ni ngumu sana kumtofautisha morata na faiza ally ex wa sugu
Kwa hiyo mchezaji aki under perform au kocha akikosea tactics katika mechi husika uruhisiwi ku-m- critisize ?wengi wenu humu ni mashabiki bendera tu yaani mnafata upepo Chelsea ilivyompiga Qarabag kila mtu anaisifia timu na kocha.Chelsea ilivyosuluhu na Arsenal wengine wakaanza Conte Out wengine wanaanza kuponda wachezaji.Mara hii mshasahau kwamba Cahill huyu huyu kaiongoza timu miezi kadhaa iliyopita kutwaa ubingwa leo kawa hafai? Ukifika Stamford Bridge pale kabla ya mechi kuanza katika nyimbo ya Chelsea ile kuna kipande mashabiki wanasema"Cheer us on through the sun and rain cause CHELSEA CHELSEA is our name" wakimaanisha tushangilie wakati wa jua na mvua.
zipo njia za kucriticize hilo halipingwi lakini wengi humu wana criticize kuliko uhalisia wa situation yenyewe.Kwa hiyo mchezaji aki under perform au kocha akikosea tactics katika mechi husika uruhisiwi ku-m- critisize ?
hili siyo group hii ni threadUnajua ushabiki wa mpira ni starehe, ni furaha na siyo matusi, nashauri kuwa kama huwezi kujibu MTU bora usiongee KBS.
Mimi binafsi nilianza kuwa mshabiki wa CHELSEA TANGU mwaka 1997; hizo hatukuwa na GROUP kama hili, tulikuwa tunakutana kuangalia mpira tu.
Unafikiri chelsea ni man u mkuryaKesho stoke city anawakalia mbavu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️
Naona umeanza kurithi mkoba wa malafyale....big up.Kesho stoke city anawakalia mbavu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️
TULISHASEMA IKI NI KIKUNDI CHA WEZI KUNA WANAZI WAKABISHAUnajua ushabiki wa mpira ni starehe, ni furaha na siyo matusi, nashauri kuwa kama huwezi kujibu MTU bora usiongee KBS.
Mimi binafsi nilianza kuwa mshabiki wa CHELSEA TANGU mwaka 1997; hizo hatukuwa na GROUP kama hili, tulikuwa tunakutana kuangalia mpira tu.
Iko poa sana hii lineup yako hasa pale midfied cante na bakayoko wanaelewana sanaNingependa sana line up ya leo iwe hivi lakini conte ana maajabu yake
Courtois
Aspiliqueta, christiensen, rudiger
Zappacosta, kante, bakayoko,alonso
Willian, morata,hazard
Lakini mengine tumuachie conte
Japo match itakuwa ngumu tutashinda leo japo ni ugenini
Stoke city sio watu wa mzaha hata kidogo hasa wakiwa nyumbani
Tuwe makini tunahitaji beki isiyo na papara