We jamaa huwa unafurahisha sanaa, mwaka jana ulikua na kamsemo haka haka mwisho w siku ukahamia spars, tulivyochukua ubingwa sijui hata ulitokea mlango gani!! mpaka leo ndio nakuona .........nyie ubingwa wenu ni kuzifunga timu kubwa tu basiiiii.MAJOGOO yanachukua ubingwa wao mwezi wa March
Ni kosa kumuita galasa kabla hajaichezea team yakeKati ya wachezaji naowaona ni mabox basi huyu jamaa ni mmojawapo, badala ya kumchukua Sanchez!! tunamchukua huyu galasa.
Sanchezi hamna kitu juzi na liver alikuwa anaruka tuTungemaliza kanisa na Sanchez
Sanchezi hamna kitu juzi na liver alikuwa anaruka tu
vip ox mmemchukua?Tupeni tu kombe letu
OX hataki kucheza Chelsea anaitaka Liverpool!
Pia leo tunakamtambulisha Van Djiik maana tumemchukua tayariView attachment 576965 View attachment 576966
Hata kama hajaichezea timu, ox ni bonge la galasa, mimbio tu isiokua na mipango uwanjani ........ labda uingereza wake ndio utakaomuweka moses benchi.Ni kosa kumuita galasa kabla hajaichezea team yake
Nafikiri Moses asipoangalia benchi Litamhusu hapa
Ox ni mchezaji mzuriii na kwetu ina impacts kubwa ....chekii tukimkosa Moses timu inavokosa balance ....Ni kosa kumuita galasa kabla hajaichezea team yake
Nafikiri Moses asipoangalia benchi Litamhusu hapa
Remy, ni mgonjwa huyoo asee.... Bro anaumwa moyo anaweza kukatka uwanjan dakika sifur tuu ko yupo chelsea mpaka amalze mpira wakee......
Huyu jamaa nilishasahau kama bado tunaye ila hajapangwa mechi zote mbili (hata benchi) labda kuna mpango wa kumuuza au kumkopesha sijui!???
Alafu huyo moses kazngua mech na Everton yale mashut yasio na maana angeassist tungeshnda goli zaid ya nne....,,Ni kosa kumuita galasa kabla hajaichezea team yake
Nafikiri Moses asipoangalia benchi Litamhusu hapa
Alvaro Morata says that he is still adapting in Premie League he insists that he does not set personal targets, but collective ones He added: "If I begin by thinking how many goals for myself, probably l should play tennis. "It doesn't matter to me. I prefer to win something. always think this is a team sport."Hivi morata ana magoal magapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14]We jamaa huwa unafurahisha sanaa, mwaka jana ulikua na kamsemo haka haka mwisho w siku ukahamia spars, tulivyochukua ubingwa sijui hata ulitokea mlango gani!! mpaka leo ndio nakuona .........nyie ubingwa wenu ni kuzifunga timu kubwa tu basiiiii.
Mkuu kurukaruka kwake kuna weza kuwa ni mgomo tuu wakutaka kusepaSanchezi hamna kitu juzi na liver alikuwa anaruka tu
Mkuu OX hujamtazama vizuri. Timu yetu inahitaji mtu kama huyu. Ana kasi na ni mpambanaji.Ox ni mchezaji mzuriii na kwetu ina impacts kubwa ....chekii tukimkosa Moses timu inavokosa balance ....
Game 3Hivi morata ana magoal magapi
Naomba namba za simu za Ox mkuu mpaka unajua hataki Chelsea wewe ni mtu wa karibu yake sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Tupeni tu kombe letu
OX hataki kucheza Chelsea anaitaka Liverpool!
Pia leo tunakamtambulisha Van Djiik maana tumemchukua tayariView attachment 576965 View attachment 576966