Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu acha ushabiki pembeni haiwezekani the second score goals kwenye EPL afu useme hamna kitu utakuwa hujielewi
Hakuna kitu nina maana mmemchukua kwa hela kubwa na wakat bado hajafikia pesa hiyo. Ni mchezaji wa kawaida hajafikia level hizo mzee
 
Next game vs Tottenham

OUT: Hazard, Pedro, Fabregas, Cahill

Probable kikosi (3-4-2-1/3-4-3): Courtouis; Azpilicueta (C), A. Christensen, Rudiger; V. Moses, N. Kante, D. Luiz, M. Alonso; Willian, Jeremie Boga, Morata/Batshuayi.
Mmeanza ligi vibaya mzee mwenzangu ndio mambo ya mpira hayo unaweza kushangaa next game mkashinda pamoja na upungufu wa key players wenu.
 
Conte hatamaliza msimu, atafuata nyayo za jose. Kumtimua Costa wakati bosi wake bado akimpenda na pia kupata matokeo mabaya. Asipofanya vizuri mechi mbili zijazo ndipo atajua rangi zote za Abramovich

Sent using Jamii Forums mobile app


Sawa mrithi wa sheikh YAHAYA, naona unakuja kasi kuchukua mikoba ya sheikh yahya kutabiri.
pambana ufikie kabisa uvae mikoba yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…