magoli kwenye pre sessoan wanafunga had mabeki sembuse lukaku
Sikupati vizuri [HASHTAG]#MkaangaSumu[/HASHTAG] "UNASEMAAA??"
(Next time andika basi bila kumwaga hayo machozi mkuu ueleweke kuwa haulii hapo wala haikuumi)
UMEMUONA LUKAKU??Utajua na man u yako
Chelsea mbele kwa mbele tu
Win win win
Yale magoli ataishia kuzifunga team ambazo hazina mabeki imara tuMsirudie tena kumwongelea lukaku kawamaliza leo naona kimyaaaa you should behave hata morata kumi hawawezi funga lile goli la lukaku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
KWAHIYO KISA MAN U ILIONESHA KUMTAKA BASI MKAKULUPUKA.... HAHAHA MO KAWACHEZEA AKILI MNAKULUPUKA NYIE WA BLUEtatizo man u nyie level zenu ni za kwenye mitandao....embu subilieni ligi ianze..kwani nyie simlikosa morata na mlikuwa mnamtaka piga kimya morata habari nyingine hapa mujini
I BLNG 2 JESUS CHRST
Umuviona lkn v2 vyake mkuu??? π π πyaani hawajamaa hawajielewi hivi lukaku na dau alilonunuliwa anaendana????? jitu zito kama uji wa ulezi ulioganda najua hata wakala wa lukaku anawacheka
I BLNG 2 JESUS CHRST
Madrid hawakutaka morata aje United ndio maana walikomaa kumtoa kwa paundi 76 mbona kwa chelsea wameshuka na haijalipwa yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KWAHIYO KISA MAN U ILIONESHA KUMTAKA BASI MKAKULUPUKA.... HAHAHA MO KAWACHEZEA AKILI MNAKULUPUKA NYIE WA BLUE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa mkuu mwahiyo kisa ni pre season basi asifunge ashangae2 ndoufulahi π π π πmagoli kwenye pre sessoan wanafunga had mabeki sembuse lukaku
I BLNG 2 JESUS CHRST
Ntarudi ngoja niendelee kuimalisha kikosi sahvi niko Italy tunapiga story na SANDRO hukuKWAHIYO KISA MAN U ILIONESHA KUMTAKA BASI MKAKULUPUKA.... HAHAHA MO KAWACHEZEA AKILI MNAKULUPUKA NYIE WA BLUE
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mshaanza ivyo tena.... Mwanzo mlisema anazifunga team ndogo Leo hivi tena ....Yale magoli ataishia kuzifunga team ambazo hazina mabeki imara tu
Hatishi hata kidogo
afu we si ndio unajifanya shabiki wa chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumekufukunyua vizr dadeqHahahaa mkuu mwahiyo kisa ni pre season basi asifunge ashangae2 ndoufulahi π π π π
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa mlianza kusema ataishia kuzifunga team ndogo saivi mmegeuza maneno kwamba ni team ambazo hazina mabeki imara haki anani lukaku kawafanya muongea lugha gonganaYale magoli ataishia kuzifunga team ambazo hazina mabeki imara tu
Hatishi hata kidogo
Kaangalie morata youtube goli alilowafunga man city alipokua juventus ndo utajuaMsirudie tena kumwongelea lukaku kawamaliza leo naona kimyaaaa you should behave hata morata kumi hawawezi funga lile goli la lukaku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Alimkataa kmtatua linda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikunyima nini mbona povuuuuuu
I BLNG 2 JESUS CHRST
Sasa mafansi wa chelsea conte anataka kuteua nahodha mpya wa team ya chelsea
Wewe kama fans wa chelsea ni mchezaji gani anayefaa kuwa nahodha wa club yetu misimu ijayo
Haya ndio majina yanayozungumzwa sana
Mwahiyo =kwahiyoHahahaa mkuu mwahiyo kisa ni pre season basi asifunge ashangae2 ndoufulahi π π π π
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahaa kweli jmn hata kama mm ni Chelsea ila inaniuma kila cku Chelsea tunabadili maneno yani kama tunawaogopa....Hahahaaaaa mlianza kusema ataishia kuzifunga team ndogo saivi mmegeuza maneno kwamba ni team ambazo hazina mabeki imara haki anani lukaku kawafanya muongea lugha gongana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]