Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unashindwa tambua MORATA anacheza ligi gani na pia unashindwa jua kuwa MORATA Madrid kule alizunguka na world class player au unataka sema na cc tunao ao worls5ckass wakutisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashindwa tambua MORATA anacheza ligi gani na pia unashindwa jua kuwa MORATA Madrid kule alizunguka na world class player au unataka sema na cc tunao ao worls5ckass wakutisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Una tatizo ambalo ni la kisaikojia na hata nikisema nakuelewesha jambo huwezi kunielewa. Hivi unacheza na Hazard,Wilian, Fabrigas nyuma na Pedro yuko pembeni alafu unasema hauna World class players! So astonishing.

Hivi Nambie, kati ya kikosi cha Man U na Chelsea ni kipi unaona kimeshiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nae hajielewi huyo
 
Fedha haina thamani kwa mchezaji kwa sasa. Zitarudi hivi punde

Kwani Pogba 100 kuna nini cha ziada? Mbona tumeona kawaida tu, soka limebadilika.
ile man u ya msimu uliopita kama asingekuwepo pogba sa hivi mngekuwa nafasi ya 10.wachache sana tunajua mchango wa pogba pale man u
 
Eden Kimario, anaesuasua na ataepigwa benchi na Rudiger ni Cahill sio Luiz
Cahil Uingereza utambeba, So Luis ana hatihati ya kukaa benchi kwani pia ana vimakosa vidogovidogo, Sidhani kama Azip atawekwa nje, jamaa ni bonge la Beki Kiraka, maaana kila namba pale nyuma anacheza
 
Ivi unajua world class player features na niwapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…