Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,033
- 27,391
Yeah. Lkn inahitajika middle nyingine. Km BakayokoChelsea inahitaji striker mmoja tu kuchukua nafasi ya Costa. Nafikiri Aubameyang ndo mtu sahihi kwetu. Nyuma pamekamililka, kati kuna Matic, Kante, Moses, Alonso, na mbele akiwepo Harzad na Pedro tunakuwa fit.
Bakayoko atakuja italazimisha Matic kuondoka. Nakuhakikishia kumleta Bakayoko ni kama kucheza kamari tofauti na Matic ambaye ni mzoefu ktk ligiYeah. Lkn inahitajika middle nyingine. Km Bakayoko
Nimetoka kumcheki Aubameyang aaah ana uwezo kiasi, akija EPL na ile mikiki atakuwa bomba zaidi.Chelsea inahitaji striker mmoja tu kuchukua nafasi ya Costa. Nafikiri Aubameyang ndo mtu sahihi kwetu. Nyuma pamekamililka, kati kuna Matic, Kante, Moses, Alonso, na mbele akiwepo Harzad na Pedro tunakuwa fit.
aubayang wakawaida sana nilimuona akiwakilisha gabon hakuisadia kabisa timu yake ya taifaNimetoka kumcheki Aubameyang aaah ana uwezo kiasi, akija EPL na ile mikiki atakuwa bomba zaidi.
Moses, Drogba, Etoo Walikuwa wanazisaidiaje timu za mataifa yao? Lkn mziki wao ulaya si ulikuwa unauona?aubayang wakawaida sana nilimuona akiwakilisha gabon hakuisadia kabisa timu yake ya taifa
Acha kujitekenya mwenyewe! dogo" Angalia comments za nyuma kabla hat hajasajiliwa na man useless, utaelewA msimamo wake .......Sizitaki mbichi hizi...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app
chelsea lazima watakua wanaumwa haja kubwa .......Chelsea wanamtaka Danilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini mkuuchelsea lazima watakua wanaumwa haja kubwa .......
ngoja tusubiri wakati maana simuoni kama anaweza kushine eplMoses, Drogba, Etoo Walikuwa wanazisaidiaje timu za mataifa yao? Lkn mziki wao ulaya si ulikuwa unauona?
Kuna mtu atakaa benchi asipojiangalia jamaa ni bonge la beki na hawa luiz na cahil wajiangalie mmoja wao lazima akalishwe benchhuyu ataanzia benchi au ndiyo atamreplace cahil? Ni vyema nguvu zikaelekezwa kwa mastreka zaidi kuliko nyuma. Yupo kijana alikuwa anacheza ujerumani anaitwa chrinsten nilitegemea ndiyo angechukua nafasi ya huyo rudiger
Bakayoko au mwingine ni lazima atue tuna shida na kiungo mkabaji mwenye ubora wa kanteYan hapa bado middle mkata umeme, kiungo na striker mmoja
Hapo sasa tunaweza kuwa wapinzani wa kweli. Japo hapo kwenye kiungo c hitaji kubwa sana
Moses mimi ninaona apate mwenzake tu kuna wakati anaboa sanaChelsea inahitaji striker mmoja tu kuchukua nafasi ya Costa. Nafikiri Aubameyang ndo mtu sahihi kwetu. Nyuma pamekamililka, kati kuna Matic, Kante, Moses, Alonso, na mbele akiwepo Harzad na Pedro tunakuwa fit.
Tusubiri tuone mi naangalia umri wake na Matic ni tofauti atatufaa kwa mda mrefu bakayokoBakayoko atakuja italazimisha Matic kuondoka. Nakuhakikishia kumleta Bakayoko ni kama kucheza kamari tofauti na Matic ambaye ni mzoefu ktk ligi
Ni kweli asee.. Matic lazima apewe changamoto. Tunacheza UEFA ujue. Kuna kukutana na kina Bayern, Madrid. Sasa km usajilli unafanyika kimasihara hata Europa ligi hatufiki na ubingwa tunauachaBakayoko au mwingine ni lazima atue tuna shida na kiungo mkabaji mwenye ubora wa kante
Bakayoko atakuja italazimisha Matic kuondoka. Nakuhakikishia kumleta Bakayoko ni kama kucheza kamari tofauti na Matic ambaye ni mzoefu ktk ligi
Kikweli aubameyang haiwezi ligi ya Uingereza jinsi anavyocheza kwangu bora belote na morata lakini sio huyoNimetoka kumcheki Aubameyang aaah ana uwezo kiasi, akija EPL na ile mikiki atakuwa bomba zaidi.
Tofauti ya hawa uliowataja na aubameyang ni kwamba piere hana nguvu kukabiliana na mabaki wa ligi ya uingerezaMoses, Drogba, Etoo Walikuwa wanazisaidiaje timu za mataifa yao? Lkn mziki wao ulaya si ulikuwa unauona?
Unasema kweli. Lakini kubali kataa tunahitaji mchezaji mmoja mmoja ktk kila idara. Na ndio maana kipa kaja, beki tayari, middle aje Bakayoko, then killing striker hasa Belloti, Aubameyang au Morata. Hapo kidogo tunaweza kuleta changamoto bhana. Lakini kiukweli Matic anahitaji changamotoBakayoko atakuja italazimisha Matic kuondoka. Nakuhakikishia kumleta Bakayoko ni kama kucheza kamari tofauti na Matic ambaye ni mzoefu ktk ligi
Aubameyang mwondoe hapo maana kwangu sidhani ligi ya Uingereza hataiwezaUnasema kweli. Lakini kubali kataa tunahitaji mchezaji mmoja mmoja ktk kila idara. Na ndio maana kipa kaja, beki tayari, middle aje Bakayoko, then killing striker hasa Belloti, Aubameyang au Morata. Hapo kidogo tunaweza kuleta changamoto bhana. Lakini kiukweli Matic anahitaji changamoto