marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Hahaha tatizo la Chelsea huwa wanaamini kuwa wao ni wakushinda kila game hawajui kuwa mpira ni dk 90, watulize vichwa mfumo wa conte ni mzuri na mpya kwa ligi ya uingereza anapaswa kuwa flexible saaanaaaaa, kuna UEFA ambayo unakutana na makocha bora wanaojua kubadilika (unpredictable). Kama Wenger anakusumbua ivi Sijui lakini huko tuendako anapaswa asajili baadhi ya wachezaji kukiongezea nguvu kikosi. Arsenal huyu alipigwa 5in 5out na Beyern tusijevunja rekodi yao!Kwa hiyo mlitaka kuchukua kila kombe Msimu ujao mnashuka daraja na conte wenu mtakuwa na transition mbaya sana kama leicister city.[emoji23] [emoji23]
Hope you are not bluu .Moses hakupaswa endelea na mechi
Matic hakupaswa kuwa kwenye mechi
Alonso hakupaswa chenza kule nyuma
Costa hakutakiwa cheza kabisa
Hazard bora aende kwa mkopo
Kisa kafungwa na arsenal? Hapana kila mechi ina miujiza yake.Conte bado ana kazi ngumu
Msimu huu Chelsea wamecheza mechi chache sana na hawakupata majeruhi ukilinganisha na wapinzani wakeKisa kafungwa na arsenal? Hapana kila mechi ina miujiza yake.
Hahaha tatizo la Chelsea huwa wanaamini kuwa wao ni wakushinda kila game hawajui kuwa mpira ni dk 90, watulize vichwa mfumo wa conte ni mzuri na mpya kwa ligi ya uingereza anapaswa kuwa flexible saaanaaaaa, kuna UEFA ambayo unakutana na makocha bora wanaojua kubadilika (unpredictable). Kama Wenger anakusumbua ivi Sijui lakini huko tuendako anapaswa asajili baadhi ya wachezaji kukiongezea nguvu kikosi. Arsenal huyu alipigwa 5in 5out na Beyern tusijevunja rekodi yao!
Kweli mkuu arsenal walikuwa vizuri sanaKwa mpira walioupiga jana Arsenal, hata Bayern angekaa. Jana washika bunduki walitakata bana, speed, pace, pass accuracy yaani hadi niliona kama mpira umechezwa nusu saa tu.
Mimi ni mtoto wa Wenger mkuu [emoji85] [emoji23]Mkuu kumbe tuko wote kwa babu wenger vijana wangecheza hivi na uefa tungekuwepo ila sio mbaya ngoja tukaoshe nyota europa
Namkaribisha sana mkuu, panapo uzima nami nitakuwemo uwanjani.Nifah tumesajili mwanajangwani mpya toka Nairobi anaitwa MK254 na anasema anajiandaa kuja dar july 13 kucheki game ya mabingwa watarajiwa wa kombe la Sport Pesa yaan Yanga dhidi ya Everton toka liverpool england.
Umeongea vonge la point...labda captain!
hivi hamna award nyingine angalau akapewa Azpilicueta.
Ukimnyima zawadi hazard hata ya kwenye club wakati huu ndo ulikuwa miongoni mwa misimu bora kwake utakuwa unatafuta mengine, maana inasemekana hazard ana nyodo kinomaa
hivi hamna award nyingine angalau akapewa Azpilicueta.
Ukimnyima zawadi hazard hata ya kwenye club wakati huu ndo ulikuwa miongoni mwa misimu bora kwake utakuwa unatafuta mengine, maana inasemekana hazard ana nyodo kinomaa
Nimesoma habari jana goal.com, lampard kwa mdomo wake anasema miongoni mwa vichwa vigumu ku-control ni hazard na akasema kipindi cha january kidogo wakosane na conte
Sasa jikute unamnyima zawadi yoyote kama hajasain madrid!!
Nikukumbushe tuu msimu uliopita, baada ya kuwafunga spurs lile goal la kuamua ubingwa weekend iliyofuata akapewa zawadi ya goal bora la mwaka la club wakati willian alikuwa na freekick ya soton na d'kieve zote zilistahili
So dont mess up with hazard!!! Ndo super star wetu lazima tubembeleze kama madrid kwa ronaldo au barca kwa messi though kwa mimi not only azip even pedro and luis did the best
Wewe wasema...kasome mkataba wa Pogba!Mambo kama haya huwezi kuyakuta Man Utd. Hakuna mchezaji mkubwa kuliko club.
Wewe wasema...kasome mkataba wa Pogba!
Mkataba wa Pogba ndio unamtaka alete kiburi? Kwamba abembelezwe kama jamaa yenu huyo Hazard? Labda hukunielewa.