Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Well done Matic; Huray Chelsea Fc.
The victory is obvious!!!
 
Hazard alitoa pasi iliyowachanganya mabeki wote wa Spurs labda walifikiria angelichanja mbuga kumbe akatoa pande
 
Chelsea kipindi cha pili wamepiga mashuti mawili na kufunga mabao mawili hawajapata kona hata moja
 
Bao la nne ni kosa la wachezaji wa kati wa Spurs hawakabi na matokeo yake ndiyo hayo
 
Dakika 87; Kaza buti Chelsea.
Kisasi chenye malengo chanya!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…