Ktk XI akipanga mabeki watatu itawasaidia ingawa shida itakuja kua hao wachezaji wenu watadumu ktk nidhamu ya huo mfumo ktk dk 90 zote?namuona Mourinho ata badili mfumo atajarib kuweka mabeki watatu
yaan kesho mkitufunga game ya 3 mfululizo naandamana asee.Ktk XI akipanga mabeki watatu itawasaidia ingawa shida itakuja kua hao wachezaji wenu watadumu ktk nidhamu ya huo mfumo ktk dk 90 zote?
Ila kuweni makini sn kunaweza kukawa na red card tena kesho maana presha iko juu sn hasa kwenu nyie Utd.
Umeona eeeeh???yaan kesho mkitufunga game ya 3 mfululizo naandamana asee.
ubaya ule mfumo unatakiwa accuracy na sisi hatuna hiyo, nyie wenzetu hata mkipiga counter zinajib ila siye tuna kosa sana magoli, mfumo huo una tuasababishia 0- 0 zaid zaid
mmmh chelsea die fan maombi yatapanda kweli au mwili utakuwa kwenye maombi na mawazo yatakuwa otDuh ninapata jaribu la imani. Second half ya game yetu nitakuwa kanisani.
mmmh chelsea die fan maombi yatapanda kweli au mwili utakuwa kwenye maombi na mawazo yatakuwa ot
hudhuria kanisa mkuu maombi muhimu cha msingi tunahitaji maombi yako kwa the blues tuweze kuwatandika hawa jamaaSijui aisee. Ila nahitajika kwenda kanisani. Yani first half naiangalia vizuri kisha ile half time naenda bafuni napiga passport ya hatari...nikitoka naanza kujiandaa (kuvaa) kwa dakika kumi hivi then nasepa. I hope tutakuwa tushafunga magoli ya kutosha mpaka hapo.
Mbili, na ya Rojo.kinachonipa furaha zaid yule mvuta bange Baily anacheza, tuna penalt yetu moja ..........
Sasa mkuu 'jurubiti' ndiyo nini!??Rahaa siyo rahaa! rahaa jamani. Leo magoli yetu tunapata mapema alafu tunaanza kula jurubiti
Nilianza kunyoosha nguoJamani Jumatatu ya Pasaka nimeandaa hafla fupi nyumbani kwangu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa mambo kadhaa aliyonitendea.
Kutakuwa na vinywaji vya aina mbalimbali na kuna mbuzi atachomwa na mtaalamu wa kuchoma nyama atakuja na jiko lake palepale.
[emoji115]
*NB: Nawaomba popote pale mlipo mjitahidi kufuata mfano wa huyo jamaa aliyenifowadia hiyo sms, na nyie muandae hafla ya kumshukuru Mungu majumbani kwenu kwa mambo mbalimbali aliyowatendea. Mimi nikiwa na hela nitaandaa pia.*