Hili kombe ni la TOTENHAM HOTSPURS
Chelsea watatafutana uchawi.
Enhe baada ya man utd kufufungaWe concede a defeat,MAJOGOO cant be a winner!
Mechi zenu za kushinda zimeisha,Man U anakupiga kama mtoto mdogo!
Totenham MABINGWA wapya EPL
Unapenda kujipa homa ya tumbo mkuu. Leo naona umekata tamaa kuwa liverfool hawana chao though ulikomaa liverfool bingwa, liverfool bingwa Malafyale mi nakupa ushauri wa bure.......hizi nguvu unazotumia humu nafikiri ungeelekeza kutoa ushauri kwenye timu yako iweze kumaliza top 4. Acha kujiongezea preresure mwilini mkuu.We concede a defeat,MAJOGOO cant be a winner!
Mechi zenu za kushinda zimeisha,Man U anakupiga kama mtoto mdogo!
Totenham MABINGWA wapya EPL
Nina mechi saba bado, nahitaji ushidi wa mechi tano, mechi nne nacheza nyumbani sawa naweza kufungwa nyumbani, ila ugenini pia naweza kushinda.Upo sahihi mkuu
Mechi zao za kushinda zimeisha
Spurs mabingwa wapya EPL
Sawa kaka ila ngoja jumapili ndo utaelewa tu. Utakuja kubadili kauli yako hapaMan U anakufunga kiurahisi tu
hihi yakina lojo au nyingine!Man U anakufunga kiurahisi tu
usishangae mkuu waache walalelale wakati tunainua kwapa wakija kushitukia tumeinua tumechokaKutoka nafasi ya tisa kama sijakosea 2015/2016 adi kukaribiria kutangazwa bingwa inadhiirisha kuna timu zingine zipo makini sana kurekebisha makosa kwa haraka sana.
Ila kuna timu zingine misimu kama saba na zaidi bado hawajaona wapi wamekosea warekebishe ili mashabiki wao nao wanyanyue ata kikombe. Kweli kua na timu zenye makazi katikati ya mji ni rahaa sana