Mkubwa hapo kwenye bluu umechemkaNiliwaambia ubingwa msimu huu unaenda Fulham Street.Mechi ya Fainali msimu huu ni Chelsea v Villareal.mnaikumbuka hii record lakini?
It is that every year since Real Madrid won the Champions League in 2002, the team that knocked them out has fallen to the eventual winners of the Champions League.
2003 Juventus beat Real (semi final), AC Milan beat Juventus in the final
2004 Monaco beat Real (Quarter final), Porto Beat Monaco
2005 Juventus beat Real (round of 16), Liverpool beat Juve
2006 Arsenal beat Real (round of 16), Barcelona beat Arsenal
2007 B Munich beat Real (round of 16), AC Milan beat Bayern
2008 Roma beat Real (round of 16), Man utd beat Roma
2009 Liverpool beat Real (round of 16), Chelsea beat Liverpool in quarter final.
Mpaka sasa bado bingwa hamjamuona?
Mkubwa hapo kwenye bluu umechemka
Bello!Sio lazima ukubaliane na nilichoandika,huo ni mtazamo wangu tu,ila kumbuka inawezekana,labda ningesema Final ni Chelsea na Barca hapo ningekuwa nimechemka ila kwa hiyo hapo juu ni mtazamo wangu ninavyoona timu zilizobaki.na wewe unaruhusiwa kusema.
...Belo anasemaaaaaaa; kuifikiria CHELSEA fainali unachemkaaaaaaaaaaa! 🙂
Fainali ya Chelsea VS VillarealBello!Sio lazima ukubaliane na nilichoandika,huo ni mtazamo wangu tu,ila kumbuka inawezekana,labda ningesema Final ni Chelsea na Barca hapo ningekuwa nimechemka ila kwa hiyo hapo juu ni mtazamo wangu ninavyoona timu zilizobaki.na wewe unaruhusiwa kusema.
Mbu vipi umehamia Barca?...the world deadliest strikers!
...tusivunjane miguu tu jumapili kwenye FA Cup,
sote tuna vibarua vigumu!
Kila la Kheri!!!!
Mbu vipi umehamia Barca?
Mbu vipi umehamia Barca?
Mbu yuko radhi asupport yoyote lakini sio Man Utd..alafu mkuu Mbu vipi hizi tetesi kuwa ulikuwa mshabiki wa Liverpool?
...la hasha, mimi naishabikia team yeyote inayocheza dhidi ya Chelsea! ...halafu huyu mbantu mchoma nywele, anayejifanya 'mayai' kwa kuanguka anguka hovyo ananikera ajabu!
View attachment 4321
View attachment 4322
View attachment 4323
View attachment 4324
View attachment 4325
...sio kweli bana, 😀 ...am Liverpool sympathizer! and Arsenal supporter!
Unajua watu wanapenda jina na umaarufu lakini kwa sasa timu iko Stanford Bridge na mwaka huu hakuna kufanya makosa kama ya mwaka jana yeyote atayetoke ni nyama tu
Hongereni wapenzi wenzangu wa Chelsea!!! ni wakihistoria believe it or not (you probably should, because it's true), that is the first time Chelsea have beaten Arsenal in an FA Cup tie since 20 January 1947, when the truly, truly great Tommy Lawton bagged a brace in a third round second replay - a White Hart Lane