UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
naona umeamua utumie ile slogan ya "if you cant beat them, join them"hapa ndipo mahala pekee nikiingia naondoa stress zangu za kule kwetu arsenal not only that kuna kijana ananipa raha sana hapa kwa umahili aalionao katika wa kuzibiti DUARA KUBWA aisee ogopa uwa najikuta nacheka maaana uwa nalinganisha kamwili kake na shughuli anayoifanya aisee BANK isubiri sana heshima kwenu N.KANTE
Kante ni wa nouma Sana mkuuhapa ndipo mahala pekee nikiingia naondoa stress zangu za kule kwetu arsenal not only that kuna kijana ananipa raha sana hapa kwa umahili aalionao katika wa kuzibiti DUARA KUBWA aisee ogopa uwa najikuta nacheka maaana uwa nalinganisha kamwili kake na shughuli anayoifanya aisee BANK isubiri sana heshima kwenu N.KANTE
herrera acha hizo bhananaona umeamua utumie ile slogan ya "if you cant beat them, join them"
kweli mkuu, ni nadra sana shabiki wa arsenal kupata furaha kupitia chelsea au spuds, sawa na shabiki wa manchester kuona kavaa jersey ya loserfool au city
naona umeamua utumie ile slogan ya "if you cant beat them, join them"
hata shetani alikuaga malaika, hivo sitashangaa na wewe ukianza kupeperusha bendera ya blue huku ukitumia hashtag ya KTBFFHSijaelewa nini mantiki yako lakini kuna mambo yako wazi tu kama arsenal itafanya vizuri siku wenger akiondoka au timu ikiuzwa kwa mmiliki mwingine mpenda soka, au manure kubinafsisha nafasi ya sita yani kuna vitu ni obvious kama naposema pogba ni galasa mbele ya turufu N.KANTE
hata shetani alikuaga malaika, hivo sitashangaa na wewe ukianza kupeperusha bendera ya blue huku ukitumia hashtag ya KTBFFH
Bado haimake sense mfano wewe unapoiangalia leicester city CL nini maana yake? Umeichoka manure kwa kua ni muda mrefu hajashiriki CL ko ukaona bora upunguze machungu kwa kuishabikia leicster city au ni nini? Eti ndugu yangu herrerahata shetani alikuaga malaika, hivo sitashangaa na wewe ukianza kupeperusha bendera ya blue huku ukitumia hashtag ya KTBFFH
Bado haimake sense mfano wewe unapoiangalia leicester city CL nini maana yake? Umeichoka manure kwa kua ni muda mrefu hajashiriki CL ko ukaona bora upunguze machungu kwa kuishabikia leicster city au ni nini? Eti ndugu yangu herrera
is this even a debate?
is this even a debate?
can i give you some more?
the only reason kante is the talk of the town ni ile kimbia kimbia yake uwanjani na uwepo wa pogba manchester, but contribution yake hanusi hata kwa Ander Herrera Aguera.
herrera vs james milner? au sijakuelewaMaskini nyie ndo wale mnaoamini statistics kupitiliza.
Ngoja nikurahisishie...kwa kutumia stats zako compare Herrera na James Milner uone ambavyo stats lie!!!!
Team ya hererra iko nafasi ya ngapi?? Team ya kante iko nafasi ya ngapi??? Je mourinho anamtuaje hererra?? Je conte anamtumiaje kante??is this even a debate?
can i give you some more?
the only reason kante is the talk of the town ni ile kimbia kimbia yake uwanjani na uwepo wa pogba manchester, but contribution yake hanusi hata kwa Ander Herrera Aguera.
Team ya hererra iko nafasi ya ngapi?? Team ya kante iko nafasi ya ngapi??? Je mourinho anamtuaje hererra?? Je conte anamtumiaje kante??
Je hererra anacheza na nani kiungo, vipi kuhusu kante??? Je team zinacheza mifumo sawa??
Ukijibu hayo maswali, tambua kua hizo hizo statistics ndogo za kante ndo zinazoisogeza chelsea na kuwa kileleni mwa ligi, wakati huo huo statistics kubwa za hererra zinatosha kuifanya man u atleast imaintain nafasi ya 6 kwa muda wa miezi ya kutosha tuu maana zikipungua lazima kushuka nafasi kuhusike.
Kante ni kante tuu!!! Na hizo statistics zingekua kama za hererra i hope tungekua unbeaten na tungekua tunanyesha mvua ya magoli kwa team yoyote tunayokutana nayo so kidogo atoacho kinatosha
umeongelea vitu viwili vinavopingana ndugu, sasa sijajua msimamo wako ni upi.
Tunaongelea performance ya herrera na kante, we unaongelea Manchester kuwa namba 6 na chelsea kuongoza ligi, umesahau kuongoza ligi ni team performance sio individual performance. umesahau kuwa vermaleen alichukua uefa na barca wakati akina bonucci, T silva, David luiz etc wanaangalia kwenye tv, au unataka unambie vermaleen alikua mzuri kuliko hao?
Handerson na buttner walichukua epl wakati gerald kaishia kubusu kamera
umeongea kuhusu mfumo na jinsi makocha wanavowatumia, hapa sijakuelewa ndugu, kwamba mfumo anaotumia conte haujamkubali kante ndio maana takwimu zake zipo chini kuliko herrera???
hapo kwenye red umekubali kuwa takwimu zinaonesha herrera ni bora kuliko kante ila ni underrated?