Msimamoo792
Member
- Jan 28, 2017
- 41
- 29
Pole sana red devals maana leo tunakwea tu kuelekea final
Leo lazima mtu achinjwe goli nyingi tu...
Go Chelsea!
Nikiripoti kutoka Salt Lake City...
Naona beki tano leo za Manchester; Darmian, Valencia, Jones, Rojo, SmallingMourhino atachezesha mfumo sawa n.a. wa Chelsea 3.4.3
Kuna nini tenaMuda wa Fabregas na Pedro huu sasa,
Toka Herrera apewe kadi nyekundu wamerudi wote nyuma kasoro RashfordKuna nini tena