notoriousic
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 424
- 484
Hivi had wanajazwa viwili yule msenegali Sadio Pesa wanaejivunia kila siku hakuwepo leoooo[emoji15] [emoji15]Liverpool imebakia timu ya kuharibu plan za timu nyingine.. Akicheza na timu za hali ya chini anakuwa ujii kabisa lakini akicheza na kubwa anakaza mno
Leo kachapwa....
Sasa wewe unatafuta msonyo tena ngoja nikuache kwanza unajua ukiwa unafungwa unakuwa una hasira hasira tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alirudi Afcon [emoji23] [emoji38] [emoji13]Hivi had wanajazwa viwili yule msenegali Sadio Pesa wanaejivunia kila siku hakuwepo leoooo[emoji15] [emoji15]
Alirudi Afcon [emoji23] [emoji38] [emoji13]Hivi had wanajazwa viwili yule msenegali Sadio Pesa wanaejivunia kila siku hakuwepo leoooo[emoji15] [emoji15]
Hahahhahahha fyuuuuuuuuuu na wewe!!! Mnashinda mpka kerooo aaaaarrrrggggghhhhhhhh!!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]Bado Nina hasira na babu yake everlenk, kwanini alitutoa kwenye mbio za ubingwa??? Huyu babu anazeeka vibaya, etii Chelsea haipo kwenye title race???? Fyuuuuuuuuu
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji133]
Mmmmh nisonye tu. Maana msonyo wa mupenzi mtamu [emoji13] [emoji8] [emoji13] [emoji7] [emoji7]Sasa wewe unatafuta msonyo tena ngoja nikuache kwanza unajua ukiwa unafungwa unakuwa una hasira hasira tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahhahaha aiseeeee!!!! Haya baba mwaka wenu jiadaini tu kutesa kwa zamu mwaks jana mliniachia jukwaa[emoji23] [emoji23]Mmmmh nisonye tu. Maana msonyo wa mupenzi mtamu [emoji13] [emoji8] [emoji13] [emoji7] [emoji7]
Nitakutafuta siku hiyo ya game tuangalie wote. Tena tukiwa tumebet sisi wawili tu. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Man U safari hii tunawachapa[emoji23] [emoji85]
Hahahahaha....Hahahhahaha aiseeeee!!!! Haya baba mwaka wenu jiadaini tu kutesa kwa zamu mwaks jana mliniachia jukwaa[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] japo sikuwepo ila mshikaji wangu ulijenga nyumba huku mwaka jana.Hahahhahaha aiseeeee!!!! Haya baba mwaka wenu jiadaini tu kutesa kwa zamu mwaks jana mliniachia jukwaa[emoji23] [emoji23]
Alikuwa hapati mipira au??Alirudi Afcon [emoji23] [emoji38] [emoji13]
Haki tena hunifungi!!! Tutajifungia mimi na wewe hahahhaNitakutafuta siku hiyo ya game tuangalie wote. Tena tukiwa tumebet sisi wawili tu. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Aiseee nilisaga sumu balaa mpka nikaacha mwenyewe maana washkaji wote waliacha jukwaa nikabaki na kipenzi Ntuzu mara aje mara asije,hahahhaha kuna mcharo wangu naye akaacha wosia jukwaa lingine wacha nipaniki nikajua nishampoteza hahahhaha ila Mentor ulinichanganya na zile hadithi zako ujue japo sikukwambia sijui ndo zilikuwa stress za Chelsea ukaibuka na bonge la hadithi.!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] japo sikuwepo ila mshikaji wangu ulijenga nyumba huku mwaka jana.
Ha ha ha ha, hiyo nzuri sana mimi nawe tu.Haki tena hunifungi!!! Tutajifungia mimi na wewe hahahha
Nitawatulizaaaaaa!!!!Ha ha ha ha, hiyo nzuri sana mimi nawe tu.
We subiri uone kazi ya Hazard na Kante
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mshikaji wangu wewe hapana. Kile kipindi kigumu ulituweza sana.....acha tuwe wengi now wakati wa neema.Aiseee nilisaga sumu balaa mpka nikaacha mwenyewe maana washkaji wote waliacha jukwaa nikabaki na kipenzi Ntuzu mara aje mara asije,hahahhaha kuna mcharo wangu naye akaacha wosia jukwaa lingine wacha nipaniki nikajua nishampoteza hahahhaha ila Mentor ulinichanganya na zile hadithi zako ujue japo sikukwambia sijui ndo zilikuwa stress za Chelsea ukaibuka na bonge la hadithi.!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila kwako namuogopa Herrera na Mata. Wengine wala jamani na uzuri Mata huwa haanzagiNitawatulizaaaaaa!!!!
Hahahaha ataanza siku, hiyo siku hiyo nakupa Fellain akumalize hhahah looooh ukitaja Fellain OT unaweza pigwa mawe japo kajitahidi kufunga ila bado hajajisafisha nyotaIla kwako namuogopa Herrera na Mata. Wengine wala jamani na uzuri Mata huwa haanzagi