Asante sn wanguMfyuuuuuuu mind the gappppppppppp uuuuuuùuhhhh!!!!!!!!! Hahahahahaaa!! haya bana tumekubali kumind the gap.... ngoja sisi tuangalie side B vya kitandani vikitushinda basi hata vya uvunguni tuambulie. ..... Hongereni sana you deserve to be there [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13]Huko majukwaa mengine unashindwa hata Ku quote watu, wanamahasira hatari
Lazima wawe na hasira angalia hichi kituko??Huko majukwaa mengine unashindwa hata Ku quote watu, wanamahasira hatari
Mzee wa kila MTU anayaogopa majogoo is no where to be found[emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13]
matumaini nimeanza kuyaona leo tushindwe wenyewe mkuuHahahahaha umeanza kukubali mwenyewe [emoji23] [emoji38] [emoji13]
Unanifurahisha mkuu
Loooohhh!! Nisamehe nimekusonya siku ya sabato!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] .....Asante sn wangu
Ahsante everlenkHongereni kwa kulipiza kisasi ila.....mhhhh hatukohohiiiii
Mfono huyuHazard huyu alipofunga nilizima TV nikaenda kulala amewatesa mno wenzake
Kala kona jogoo wake wamempodoa km SalomeMzee wa kila MTU anayaogopa majogoo is no where to be found
Ulikua mwoga sn.... Liverpool ni team mbovu siku zotematumaini nimeanza kuyaona leo tushindwe wenyewe mkuu
liliver limekufa kule
Uchijali[emoji8]Loooohhh!! Nisamehe nimekusonya siku ya sabato!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] .....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuuuuu mind the gappppppppppp uuuuuuùuhhhh!!!!!!!!! Hahahahahaaa!! haya bana tumekubali kumind the gap.... ngoja sisi tuangalie side B vya kitandani vikitushinda basi hata vya uvunguni tuambulie. ..... Hongereni sana you deserve to be there [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kaka Ntuzu wameenda wapi hao wazee wa Jogoo?, maana walisema Liver ndio mwisho, wakasema Arsenal ndio Mwisho, sasa sijui watatupangia nani ndio uwe mwisho wa Chelsea?Kala kona jogoo wake wamempodoa km Salome View attachment 467281
Bwihi.. [emoji16] [emoji16]Hazard huyu alipofunga nilizima TV nikaenda kulala amewatesa mno wenzake