Happy Born day Mkuu,Asanteni sana kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa. Huku Honolulu mechi yetu nimeiangalia asubuhi sana saa 05:30am.
Hivyo mimi ndiyo kwaaanza ninaianza hepi besdei yangu..tarehe 28/01 what a way to start my big day...big in so many ways...May God keep guiding my feet!
On tot he next one..Tuesday...KTBFFH.
Kalou...hongera kwa kuliona hilo. Nilizani ni mim tu ndo nimeliona hilo. Mentor nahisi leo siku yako itakuwa njema sana. Heri ya siku yako ya kuzaliwa. May almighty Lord God grants you a milion of lifeThe Guv'nor leo aliingia kupasha misuli kidogo na kumpa changamoto Mitchy , he is 110% fit kwa next game..but this kid Mitchy hayuko serious hata kidogo
Mitchy bana anabutua tu. Heri angeendelea kutoa assist angekuwa anaingia sub za kina Hazard na Pedro. Ila kote kote ni mzito.Happy Born day Mkuu,
The Guv'nor leo aliingia kupasha misuli kidogo na kumpa changamoto Mitchy , he is 110% fit kwa next game..but this kid Mitchy hayuko serious hata kidogo
Happy birthday my Mcharo,live long babaaa na Mungu akupatie kila hitaji lako....... BTW hongereni sana RB kwa ushindi mtamu vijana mnatisha mko byeeeee!!! Mnashinda mpaka kero arrgggghhhhhhhh[emoji30] [emoji30] !!..... [emoji2] [emoji2] [emoji2]......looooh!! Siku hizi nashindwa hata kuuzuia uwivu wangu wa kike juu yenu maana mhhhhhh ndo maana hata siji kuwapa hongera [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....joking jamani ubize!!! ......Asanteni sana kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa. Huku Honolulu mechi yetu nimeiangalia asubuhi sana saa 05:30am.
Hivyo mimi ndiyo kwaaanza ninaianza hepi besdei yangu..tarehe 28/01 what a way to start my big day...big in so many ways...May God keep guiding my feet!
On tot he next one..Tuesday...KTBFFH.
happy birthday to youAsanteni sana kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa. Huku Honolulu mechi yetu nimeiangalia asubuhi sana saa 05:30am.
Hivyo mimi ndiyo kwaaanza ninaianza hepi besdei yangu..tarehe 28/01 what a way to start my big day...big in so many ways...May God keep guiding my feet!
On tot he next one..Tuesday...KTBFFH.
Kweli mkuu. Mfano Ake alitulia alikuwa Solid kweli kweli...kwa mbali naona kama Alonso atakaa bench vile. Terry aliwaongoza vijana vema.back line ya jana imecheza vizuri sana
Terry aliwaongoza vijana vema.
Terry wangemuacha tu aendelee kubaki pale manake ni muhamasishaji wa timu sana. May be David Luis nae siyo mbaya sana.Terry akiondoka msimu huu sijui nani atabaki senior player atakayeheshimika na wachezaji wote...!
JT ni muhimu sana kwetu.Terry wangemuacha tu aendelee kubaki pale manake ni muhamasishaji wa timu sana. May be David Luis nae siyo mbaya sana.