Karibu sana Anfield.. Usisahau tulichokufanya darajani, Delle katia msumari sisi tutanyunyiza chumvi kidonda kipone uzuri.Tena wewe unaonyesha ni Liverpool. Ngoja tutakuja apo anfield kuweka mambo sawa
Mbinu zile zile Alonso na Mosses kuja nyuma kuchukua mpira then Kante na Matic kuwapokea na kumpa Hazard au Pedro zimeisha fanyiwa kazi!Copy and paste kwa kila team ya EPL itakayo ceza na ChelseaMan U kutukuta hapana ni ngumu, japo inawezekana kwenye mpira. Ila sitegemei kufungwa tena hapa karibuni. Timu leo imefanya makosa mengi sana ambayo kama watayafanyia kazi tutarudi vizuri.
I will say this again...mvhezaji pekee wa Chelsea ninayehofia ubora wake ni Alonso. Having said that, sidhani kama tutafungwa siku za hivi karibuni mkuu.Mbinu zile zile Alonso na Mosses kuja nyuma kuchukua mpira then Kante na Matic kuwapokea na kumpa Hazard au Pedro zimeisha fanyiwa kazi!Copy and paste kwa kila team ya EPL itakayo ceza na Chelsea
Kama Spurs wala hawawafuati wakiwa nyuma kwao akina Mosses maana wakikutoka kule ndiyo nyie mnapungua na wao mbele wanaongezeka!Spurs walikuwa wanawasubiri kwao kwenye 18 ambapo Dembele na Wanyama wana wa overpower kwenye duel
Mna kazi kubwa sana kwa Liverpool January hii!Bado hamyaogopi Majogoo?
nimefurahi hadi basi, tena sana.Khe kheeeee Kheeeeee Poleni humu wakuu. Mmekutana na mlume leo akasema STOOOOP! Dua za everlenk, BelindaJacob, sister, yours truly na wapenzi wote wa Arsenal na MANU kumbe wakati mwingine humpata Chelsea. Ligi itazidi kuwa tamu na ushindani badala ya timu kutawazwa kuwa bingwa mwezi wa pili wakati bado kuna mechi nyingi tu hazijachezwa.
nimefurahi hadi basi, tena sana.
nilitaka mje kuwa majirani zetu na mmekuwa, na pia nilitaka chelsea wapunguziwe points na imekuwa hvyo basi burudani tu.Hongera zako kwa kufurahia, ukiona mwenzio ananyolewa.....