respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Half Time
Tottenham 1 - 0 Chelsea
Goal by Dele Alli 46'
pedro hana nguvu..amewekwa kumchosha Rose 2nd half aje willian amkute hayupo fitiNaona leo kama Pedro hajawa kwenye form ila ngoja tuone dk 45 zijazo,bado naamini tutatoka na ushindi
Wako vizuri lakini kama umeona hawapitishi mipira kati bado inaenda pembeni kisa kinachowafanya Hazard na Pedro kushuka kusaidia.Yaan naona Willian anahitajika sana sana, kama nilivyosema awali nguvu hana za kupambana na mabeki wa Spurs. Faby akiingia kingo kitashikwa sana Dembele na Wanyama wanapiga kazi
Pedro hajapoteza nafasi kama walizokuwa nazo Hazard na Costa.Naona leo kama Pedro hajawa kwenye form ila ngoja tuone dk 45 zijazo,bado naamini tutatoka na ushindi
Ebo awe kwenye form kwani anacheza na swansea? Ataonea haohao sio hao wanaume wa shoka, watoto wa mjiniNaona leo kama Pedro hajawa kwenye form ila ngoja tuone dk 45 zijazo,bado naamini tutatoka na ushindi
Mkuu kwema humu?Ukiachana na Dembele, mtu hatari zaidi kumchunga ni Ericksen.
On to the second half..wakaanga sumu muda wenu wa kuuza chai huu baada ya game hamtapata wateja.
Sasa mkuu tukiweka gap ya point 8 january hii si itakuwa ndio basi tena?, wacha tubakishe utamu wa ligi bana.Acha kujikausha ndezi wwe sema leo huna uwezo wa kushinda hii gemu hata kama utaambiwa utakabidhiwa leo kombe
Son? Yule mchecheto mno ila naye akiamka vyema anakuwaga mbaya sana. Nakumbuka ile game ya 2-2 last season.Ericksen ni mtu hatari pia wana yule mchina wao
Matic anacheza kama ameambiwa mwisho leo kucheza mpira, lakini uwepo wa Dembele unafanya kazi yoote isionekane naona hata watangazaji wanamuingelea Dembele tu.Jamani tuacheni utani. Dembele ni shoka aisee. Ananikumbusha patrick Viera..
Half time tayari mmelala.
Hawa wanapenda sana kutumia Rose na Walker, sasa Alonso nae kule legelege japo anajaribu sana, huki nako Pedro legelege.Wako vizuri lakini kama umeona hawapitishi mipira kati bado inaenda pembeni kisa kinachowafanya Hazard na Pedro kushuka kusaidia.
We are still good in general..umaliziaji tu ndo umekuwa butu.
Kumbe manfongo nao wa bush alibakiri mapema tu.Ebo awe kwenye form kwani anacheza na swansea? Ataonea haohao sio hao wanaume wa shoka, watoto wa mjini
Umesahau kutaja na man utd mkuu...hahaha ukweli huwa mchungu.Ebo awe kwenye form kwani anacheza na swansea? Ataonea haohao sio hao wanaume wa shoka, watoto wa mjini
Huna lolote si mlikua na tambo za kutaka kuvunja recodi wiki nzima hii hatunywi maji, imekuaje tenaSasa mkuu tukiweka gap ya point 8 january hii si itakuwa ndio basi tena?, wacha tubakishe utamu wa ligi bana.
Kwema kama ndo mpira huu...second half tukutane after 45'Mkuu kwema humu?
Pedro unamuonea. Mtu pekee legelege ni Alonso.Hawa wanapenda sana kutumia Rose na Walker, sasa Alonso nae kule legelege japo anajaribu sana, huki nako Pedro legelege.
Atleast Willian akiingia upande huo utakuwa na nguvu na hata Rose hata panda sana, hii itawafanya hata Hazard na Costa kuonekana maana Willian anauwezo wa kupeleka mbele timu.
Kwahiyo Mpira umeisha??Huna lolote si mlikua na tambo za kutaka kuvunja recodi wiki nzima hii hatunywi maji, imekuaje tena
Game kali.Kwema kama ndo mpira huu...second half tukutane after 45'