Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unajua watu hawakukosea kusema Maji hufata mkondo.

Conte sio kocha Mwenye kupenda vurugu au magomvi au bifu za kipuuzi. Sasa mkiwa na manager Wa hivyo lazima Ata nyie staff wake muwe hivyo.

Ni kweli kabisa hapa unanikumbusha El Classico Mourinho akiwepo
 
Ni kweli kabisa hapa unanikumbusha El Classico Mourinho akiwepo
Kuna kocha msaidizi Wa Barca alipigwa kibao na Mourinho.... [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji13] sasaivi nafikiri huyo kocha ni marehemu baadae alipewa timu ya Barca akawa manager kamili. Mourinho akiwa anampiga kibao huyo mtu huku Pepe na Ramos wanapiga watu....[emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji13] kuwazuia ilikua shida. Baada ya hapo Jose akatolewa ktk bench la ufundi akapandishwa juu ktk ngazi akakaa hapo chini ya ulinzi Wa askari wawili.

Kwakweli huyu Baba Yetu Mourinho ni kiboko. Ingawa Mimi naweza kusema wao humchokoza na hua hakubali Sasa akichokozwa.

Juzi juzi tu kapiga teke kidumu cha maji uwanjani na FA walivyo hawana dogo wamemshushia adhabu. Ni kz sn.......
 
Uko sahihi kiongozi!
Wachezaji hufuata maelekezo ya kocha wawapo uwanjani
 
Uko sahihi kiongozi!
Wachezaji hufuata maelekezo ya kocha wawapo uwanjani
Unajua ukimtizama Conte utaona huyu kitu asichokipenda ni kupoteza na kwa huu mfumo wake yani unakua adjustable kutokana na nguvu ya adui alivyo. Adui akiwa na nguvu sn Basi unakuta goma liko solid defensive hapo back line lazima iwe 5-4-1 na adui aikiwa legelege Basi huko mbele kutakua 3-2-5. Yani iko ki defensive sn maana.
 
Umenena vema Ntuzu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…