Zouma kishaanza mazoezi?KABLA YA SAFARI MAZOEZI YALIFANYIKIA STAMFORD BRIDGE BADALA YA COBHAM...
Branislav Ivanovic akiwania mpira na Eden Hazard huku dogo Nathaniel Chalobah akishangaa
The always competitive Cesar Azpilicueta huku kwa background ni Cesc Fabregas na Ruben Loftus Cheek
The Brazilian wonder kids....Willian na Oscar.
Nathaniel Chalobah akiwania mpira na Diego Costa
Fabregas na Loftus Cheek.
Mnaijeria Obi Mikel na Marcos Alonso...
The beast Alone.
Goal keeper namba 2: Asmir Begovic huku kipa namba 3: Eduardo akiangalia
Mitchy Batshuayi akishangilia kufunga mazoezini...
Oscar Emboaba...
Kurt Zouma na Pedro walikuwepo.
The geezer...David Luiz!!!
Zouma kishaanza mazoezi?
Hahaa nishakubali mpo vzr kwa sasa, naisubiri game ya baadae, kama conte atanidhihirishia kuwa kweli mpo vzrAhahaha...nilikuwa nakusubiria. Hivi wewe ndo ulisema game ya Tottenham na Manchester city ndo zitadhihirisha tumecheza na timu kubwa? ama mpaka niende kwenye archives?
[HASHTAG]#ripManyaga[/HASHTAG]
Nenda Google download Mobdro au UktvMsaada kupitia simu yangu naangalia mpira kupitia ustream lkn wanazingua jee pengine naweza kuangalia?sitaki dstv kama yupo anayeju aniambie.ni down loud
Hahaa nishakubali mpo vzr kwa sasa, naisubiri game ya baadae, kama conte atanidhihirishia kuwa kweli mpo vzr
Naona mnaconfidence kama arsenalTunapita kiulaini, 4hours to go.
Saa tisa na nusu mchana, kwa kikwetu. Kick at 15:30 EAT#ETIHAD.mechi saa ngapi kwa majira ya kwetu?
Namuonaga kwenye thread ya Man u. Siju mou alimfanyaje alipo yupoHivi mdau "NONDA" yupo wapi?????? Long time no see him posting any rhetoric.