nilikuwa namaanisha awe anafanya rotation baadhi ya matches kwa no. 10... la sivyo there is no room 4 fab in 3 4 3....Hiyo ni ngumu zaidi kwa kuwa kuna Hazard. Huwezi kuwa na free role players wawili kwenye timu.
nilikuwa namaanisha awe anafanya rotation baadhi ya matches kwa no. 10... la sivyo there is no room 4 fab in 3 4 3....
fab yupo too slow mentor...he cAnt press enough...Twende taratibu: Unamaanisha kuwa kwa 3-4-3 formation,
- Fabregas hawezi kucheza position anayocheza Matic isipokuwa free-role anayocheza Hazard?
- Fabregas na Hazard hawawezi kupangwa pamoja?
- umemaanisha nini hasa kusema 'there is no room for Fab in 3-4-3'?
08:30pmGame saa ngapi wakuu?
point 3 muhimu tuongoze ligi kwa masaa kadhaa!Kikosi ni kama jana wanabadilika wa kwenye bench tu...
Team to face Everton: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Kante, Matic, Alonso; Pedro, Diego Costa, Hazard. [HASHTAG]#CHEEVE[/HASHTAG]
Today's subs: Begovic, Aina, Ivanovic, Terry, Chalobah, Oscar, Batshuayi. [HASHTAG]#CHEEVE[/HASHTAG]
Mh are you serious bro!???Come on Everton!!!!
Hahahaaa aahyiii.....sawa Mkuu kaeni hapo juu hadi kesho......madogo wamekata tamaa mapema sana.Mh are you serious bro!???