Hapa inabidi tujue tu kwamba maneger wetu kimsingi hana interest na fab ndio maana unakuta hata nafas hapewi na katka uhalisia formation yaa 3-4-3 kwa fab kwake ni ngumu kuperfom vizur
ndicho nilichokua nahoji" mnasemaje ameshindwa wakat hajapewa nafasi,mi naona ni chuki binafsi tu hamna cha weakness ya kukaba wala nini ............
yaani namuombea conte achemshe ........manina.
Najua terry anakukera sanambona hujataja beki...
Najua terry anakukera sana
True chelse under conte mtafika sehemu flani jamaa yuko makini sana namuelewa mpeni mudaWho said that!??
Mimi hata Terry akijifunga siwezi kukereka sembuse saivi hata hachezi!??
The fact is amezeeka, nguvu zimepungua ingawa akili ya mpira bado anayo. kwa formation ya 3-4-3 there is no room for error. Speed ni silaha kubwa. Ndiyo maana hatopangwa sana kwa mechi kubwa.
I love Terry lakini simuhesabii kama mabeki tuliobaki nao (same with Ivanovic).
kudos.It really depends ni nani wanacheza...kacheza tena na Matic lakini balance ilikuwepo. He has better passing accuracy. Sometimes tuwaze kushambulia zaidi. Ukiwa na Kante take the risk weka Fab mwache Matic bench wacha timu ishambulie kwanza the more you attak the less of the ball you will have to chase.
Nmefurahishwa na formation ya kesho kweli huyu jamaa ni great cocher ...
Game muhimu sana kwenu kushinda hii
ni sawa...ila me ningependa baadhi ya matches fab acheze no 10 apewe free role...asiwe na jukum la kukaba...kaz yake iwa ni assisting mwanzo mwisho...It really depends ni nani wanacheza...kacheza tena na Matic lakini balance ilikuwepo. He has better passing accuracy. Sometimes tuwaze kushambulia zaidi. Ukiwa na Kante take the risk weka Fab mwache Matic bench wacha timu ishambulie kwanza the more you attak the less of the ball you will have to chase.
ni sawa...ila me ningependa baadhi ya matches fab acheze no 10 apewe free role...asiwe na jukum la kukaba...kaz yake iwa ni assisting mwanzo mwisho...