As much as naipenda Chelsea , performance kama ya Jana haiwezi kutupa ubingwa, lazima mfumo wa Conte umuaccomodate Fab, jamaa ana jicho la final pass kuliko mchezaji yoyote pale Chelsea(Fact), interception za Kante ni muhimu sana awe first eleven, narudia tena kwa aina ya Mpira wa dunia ya sasa left back na right back lazima waweze kusaidia mashambulizi kutokea pembeni kitu ambacho Ivanovic anakosa, all in all tulikuwa strong Wakati wa kuzuia ila tuna mapungufu Wakati tuki counter attack haswa kwenye final decisive passesKwa mawazo yako ila kiukweli ivanovic kajituma sana leo .kwangu mm nampa pongezi.pia chelsea inaonekana wapo na nguvu zaidi mwaka huu kuliko msimu uliopita
timu imebadilika sana" tukikutana na arsenal au man u" tutapiga tuue ...............
umeona eeee......mwaka huku hats UEFA tunatinga....ngoja konte akae vizuri..kollibay atue pale..yule mpira wa adabu.....Mwaka huu tunatangaza ubingwa kabla ya krismas
As much as naipenda Chelsea , performance kama ya Jana haiwezi kutupa ubingwa, lazima mfumo wa Conte umuaccomodate Fab, jamaa ana jicho la final pass kuliko mchezaji yoyote pale Chelsea(Fact), interception za Kante ni muhimu sana awe first eleven, narudia tena kwa aina ya Mpira wa dunia ya sasa left back na right back lazima waweze kusaidia mashambulizi kutokea pembeni kitu ambacho Ivanovic anakosa, all in all tulikuwa strong Wakati wa kuzuia ila tuna mapungufu Wakati tuki counter attack haswa kwenye final decisive passes
bora tungefungwa ili tusajili beki" beki sio nzuri kabisaa, jana hatukpata shambulizi ndio mana! tungepgwa shambulizi mbili yote yangekua magoli na ungemkataa huyo iva. ukitaka kujua beki ni mbovu" westham wasingetakiwa kupata hata goli. goal la Cahil lile .............. all in all hii chelsea ya sasa tukicheza na timu kama arsenal au man u! tutaua"
Jana Chelsea walicheza mpira mwingi mnoo tatizo umaziliaji tu. ...yaan kama tubgekuwa tunacheza na Bournemouth tungewapiga 5 nyauuu
Kwa mtazamo wangu..performance ya jana tukiwa serious na kufunga magoli tunashinda ligi hii ya kichovu.
For sure Ivanovic jana kacheza vizuri mno..defensively na attacking. Cha muhimu ni collective play - kama ya jana - yaani, wote mkabe wote mshambulie...nyuma abaki Terry na Cahiil (of course hata mimi pendekezo langu ni Kalidou Koulibally aje ili acheze na Zouma pale kati) Ila kwa right back...bado sijaona kwa kikosi cha sasa atakayemweka benchi Ivanovic (pamoja na kwamba naisema kwa huzuni)..tusubiri usajili msimu ujao tena ila hawa tulionao...ongeza STRIKER na KOULIBALY ONLY! EPL, FA, CARLING CUP zinatuhusu!!!
Huwezi kubahatisha ukiwa umelala usingizi,acha roho ya Korosho.Wamepata Huo Ushindi Wao Wa Kubahatisha Ishakua Balaa!!
umeona eeee......mwaka huku hats UEFA tunatinga....ngoja konte akae vizuri..kollibay atue pale..yule mpira wa adabu.....
As much as naipenda Chelsea , performance kama ya Jana haiwezi kutupa ubingwa, lazima mfumo wa Conte umuaccomodate Fab, jamaa ana jicho la final pass kuliko mchezaji yoyote pale Chelsea(Fact), interception za Kante ni muhimu sana awe first eleven, narudia tena kwa aina ya Mpira wa dunia ya sasa left back na right back lazima waweze kusaidia mashambulizi kutokea pembeni kitu ambacho Ivanovic anakosa, all in all tulikuwa strong Wakati wa kuzuia ila tuna mapungufu Wakati tuki counter attack haswa kwenye final decisive passes
Defence sio Cahill na Iva peke yake..ni collective display!
Kwa game ya jana walishindwa kushambulia kwa sababu mipira ilikuwa inazuiliwa katikati...so hata kuongelea kushambuliwa hakuna maana! Cha maaana ni kucheza hivi game zote...!