Hapana naweza pata heart attackKama ni mtu wa kukata tamaa kwa msimu mmoja tu,basi bora nikutakie safari njema but kumbuka kila team hupitia matatizoni kwa wakati wake,Sisi ndio CHELSEA win or lose.
Wewe unaletaga utani na mazarau wakati Ntuzu, CleverKing, Kalou- mind ze gap na Mentor wana mahasira ambayo hayajaisha, ukiongezea na zile goli "za mkono" za Kun Aguero.Chelsea's Premier League record after 33 games this season:
11 wins
11 draws
11 defeats
Balanced Diet
Chelsea's Premier League record after 33 games this season:
11 wins
11 draws
11 defeats
Balanced Diet
unadhurura kwenye miji ya watu, hujui kule kwenu familia yote imeangukiwa na jumba bovu??Chelsea's Premier League record after 33 games this season:
11 wins
11 draws
11 defeats
Balanced Diet
Hao mashabiki maandazi unawapotezea tu mkuu, hawana tofauti na akina PNC wa barcelonA!(glory hunters)Kama ni mtu wa kukata tamaa kwa msimu mmoja tu,basi bora nikutakie safari njema but kumbuka kila team hupitia matatizoni kwa wakati wake,Sisi ndio CHELSEA win or lose.
Umeshazoea sasa? Umezoea nini, ndugu ya Yaya?tumeshazoea sasa, ....NEXT SEASON
Mmmh Petro...?Akija konte anatakiwa awabakishe hawa tu tiba cotous wiliani oscar fabrigasi na petro baasi wengine wote waachwe asajili timu mpya kabisa maana hakuna namna sasa
Chelsea 2-1 PSG UEFA Youth League Final RESULT: Kasey Palmer's second-half strike helps Blues defend their European title
Chelsea win the UEFA Youth League with victory over PSG in Nyon.
Fikayo Tomori hands Chelsea an early lead from close range
Defender gives away penalty within 90 seconds of putting his side in front
Bradley Collins saves the spot-kick from Jean-Kevin
Augustin Yakou Meite strikes in the second half to equalise for the French club
But Kasey Palmer takes less than two minutes to restore the Blues' lead
English club remain unbeaten in the competition since November 2014
He has done very good. I'm so pleased with him.[emoji28] [emoji28] [emoji28]Nimepata sehemu wanaonesha Supersport 11 HD..wanasema saa mbili unusu watarudia mechi yetu. I cant wait...ingawa najua matokeo ila nataka nione jinsi Mikel alivyocheza centre back.
He has done very good. I'm so pleased with him.[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Is not like that brother. Anyway just watch yourself you will see.Wewe na Guus Hiddink hamtofautiani. Lazima nijionee mwenyewe.