Inawezekana PM zako zimenaswa na "wamiliki". Mimi kwangu haijafika hata moja. Jaribu tena. Au unamtumia member ingine? Au unatumia ID tofauti?Nonda niaje Mkuu.
Uko pouwa kaka? Nimekutumia PM kibao tu naona haujibu.... Au hutaki buguza???
PSG anapigika kesho bila wasiwasi wote ule
Mimi pia natabasamu na kucheka. Nasubiri mtanange wa kesho. Leo Mr. Bean anatembelea "shimo"Hull akitafuta ubingwa wake. Je ataepuka handaki na kutumbukia shimoni?
Naona dogo umekuwa Arsenal kimya kimya huku unamchora Ntuzu na Mentor kujifanya bado uko Daraja bovu linalokarabatiwa na Guus.Hongera naona leo Arsenal mmeshinda ushindi wa kishindo, mmewatumia Barcelona salamu.
Nimebahatika kuangalia mechi ya Roma na Madrid leo. Mohamed Salah amecheza vizuri sana ile wing ya kulia....ameniboa sana kwenye umaliziaji.
Mwanzoni nilianza kuwaza kuwa angeweza kuwa bora kuliko Willian ila chances alizokosa nikaishia kukubali tu aliuzwa for good. All those dribbles for nothing!!!!
Hongera sana bana Nonda" na Arsenal yako mbovu, natumai jmos ndio mnaanza ligi ........Naona dogo umekuwa Arsenal kimya kimya huku unamchora Ntuzu na Mentor kujifanya bado uko Daraja bovu linalokarabatiwa na Guus.
Unataka Mikel na Kennedy?Hongera sana bana Nonda" na Arsenal yako mbovu, natumai jmos ndio mnaanza ligi ........
Kweli, ametupa nafasi za wazi za kufunga zisizopungua 4. Roma wangetangulia kupachika bao la mwanzo, huenda ile mechi ingezidi "ze utamu"Nimebahatika kuangalia mechi ya Roma na Madrid leo. Mohamed Salah amecheza vizuri sana ile wing ya kulia....ameniboa sana kwenye umaliziaji.
Mwanzoni nilianza kuwaza kuwa angeweza kuwa bora kuliko Willian ila chances alizokosa nikaishia kukubali tu aliuzwa for good. All those dribbles for nothing!!!!
hawezi akawa mzuri kuliko willian, uzuri wa wilian anaweza kukaba na anakaba kw juhudi sana" mungu amemjaalia mapafu ya mbwa .......... Salah hawezi kukaba, alivyouzwa mi niliona sawa tu sababu alikua hana ubavu wa kubattle na willian au hazard
Hivi Pedro vipi? akiwepo game la kesho itakua poa sana, au kama hatakwepo ni bora Pato aanzee, au kati kuliko apange Matic+Mikel bora apange Mikel+Kennedy.
mkuu ulipotea sana jukwaa hili nilikuwa nakuona kule "zanzibar election na jukwaa jipya la kilimo na uvuvi.Hii ni dalili kwamba umeshakubali kipigo cha kesho. Yule Abrahamovic ni "mhuni" kuliko Costa.
Mmeepuka relegation msimu huu, hali hiyo ni "ubingwa" tosha kwa mabingwa wa msimu uliopita.
Tulia weye aleyn uone PSG wanavyoaga mashindano-Walianza Man U makundi
-Sasa hivi ni zamu yetu hatua ya mtoano
Bora na sisi tungetoka makundi tu kama Man U.
Sikupotea. Ni Ntuzu ndio aliomba time out.mkuu ulipotea sana jukwaa hili nilikuwa nakuona kule "zanzibar election na jukwaa jipya la kilimo na uvuvi.
Mtoto mzuri hyo[emoji68] ,View attachment 328374
Mnyamaaaaa!!!!