kijana anatakiwa awe fit, hizi habari za injuries za kipuzi kama majirani zetu kule hatuzitaki
Pato has been training twice a day at Chelsea's Cobham base as he looks to build up his fitness
Chelsea do not want their new signing to risk injury by throwing him into the firing line too early
Sio za kweli, mtu wa karibu na abramovich amekanusha hiyo taarifaHivi hizi habari za Massimiliano Allegri kuja Chelsea ni za kweli?
Mkuu siamini kua game imeanza mpaka imeisha wamejificha duh tena game na Utd hii aibu.Hili jukwaa wenyewe bado wako uvunguni,tunaomba mrudi hamshuki daraja
Huyu hazard kawa kama depay tu kwa sasa lol
Yeah mkuu enzoumeangalia mpira kweli mkuu??
Mkuu siamini kua game imeanza mpaka imeisha wamejificha duh tena game na Utd hii aibu.
Cuortous anawafichia sana aibu wenzie lakini kiuhalisia defence yake yote hali mbaya sana msm huu ,,,,,,,umeangalia mpira kweli mkuu??
Courtous amesave za kawaida sanaa kama kipa ni lazima angesave, ambayo amesave ilikua ya hatareee ni ile ya Martial kwa ile ni sawa kabisa kumpa credits, ila nyingine ni normal saves ambazo ni lazima katika game kipa atestiwe............... save alizofanya De gea ndio unaweza sema kaibeba timu. angekua kipa mwingine zile zote ni magoli.Cuortous anawafichia sana aibu wenzie lakini kiuhalisia defence yake yote hali mbaya sana msm huu ,,,,,,,
,
sijui jembe letu" Zouma atakua miez mingapi nje, mana alivyotua mpaka nimeshindwa kuangalia ile incident .............
Get well soon Kurt Zouma !
Leo jumatatu ndio atafanyiwa uchugunguzi.
Speaking about Zouma's injury post-match, Chelsea boss Guus Hiddink said: 'He will have an examination on Monday.
'It's very bad when you land with a hyperextension of your leg. Let's wait.'
Jamaa atakua kaumia sn unaona mguu ulivyo simama ktk hali isiyo ya kawaida?
Picha ingine Zouma na Fallain wakitoka uwanjani