Boss Jose Mourinho says he "cannot promise" that Chelsea will qualify for the Champions League next season.Msiwe mnamuuliza Jos? maswali mkifanya hivyo majibu ya shombo yanawahusu. Jibu kuhusu kuumia kwa Costa linawafaa sn wakaanga sumu
Unasikitika kwa nini Mou alimruhusu aondoke au ujumbe wako ni upi?
Boss Jose Mourinho says he "cannot promise" that Chelsea will qualify for the Champions League next season.
The defending Premier League champions sit 15th in the table after winning three league games this season.
Reports have suggested the 52-year-old could lose his job if the Blues are beaten by Liverpool on Saturday.
http://www.bbc.com/sport/0/football/34679029
Chelsea board tell Jose Mourinho: Stay in top four contention and your job is safe
http://www.standard.co.uk/sport/foo...contention-and-your-job-is-safe-a3082861.html
Kesho mida kama hii mtakuwepo hapa au mtakuwa mmeshaondoka na Mourinho? Kalou, Ntuzu, Mentor
Mi nipo Mkuu na nimejaa tele.... Kidogo nilikuwa nimetulia nikiitafakari hii nchi yangu na kutafuta kitu cha kunifariji na kunitia moyo.......
Mou ameamua anataka top 4. Ameamua kuwa kama Wenger? Duh! Alisema Wenger ni specialist wa nini?Hiyo haimsumbui ata km wamtimuwe leo kila wakati atabaki kua yeye ni special....
Kwa chama gani?
Daaah mkuu tusiibue tu hasira za watu hapa!Ikwiriri na Rufiji kwa ujumla ni deep CCM county!
Lkn mm ni mwana KOPS hapa na soka lituunganishe na uchaguzi umeisha mpwa
Hongera kwa kuwa unatambua ukweli
Majogoo mwaka huu bado labda msimu ujao
Leo nampiga Chelsea kwake
Leo nimejikuta nina mahaba na mou...
Kweli nafarijika sana mou akiwa kocha wa chelsea...msimfukuze bhana.. mna kocha jasiri sana...
Sasa kama chelsea player na fans mnaomba mfungwe ili mumfukuze mmefeli mimi leo naiombea chelsea ifunge...
Cc everlenk.. umoja ni nguvu tuiombee chelsea leo ipate point tatu