Analipwa kiasi gani kwa mwaka? Alafu ukitoa hiyo 50,000£ inapunguza nini ktk hilo pato lake kwa mwaka? Au hicho ki 50,000 ni kitip tu kwa José Mourinho?
Atasema sn tu na bado atawasema vzr tu iwapo waamuzi wataboronga.... Km hiyo ban ya game moja na ije. Atafatilia mechi kwa tv na kutoa maelekezo kwa sim km game ya Munich 2005.
Mbona hivi ni vijimambo tu vidogo....
Jambo la msingi ni kuwa Domokaya amekiri kuwa ni yeye aliyeboronga kwa kupayuka.
When will Jose Mourinho learn?
The English Football Association handed Mourinho, 52, a suspended one-match stadium ban and a $75,000 fine on Wednesday after he admitted a charge of misconduct.
Link Chelseas Jose Mourinho gets suspended ban, fine post-match meltdown |
Chuki kwa Ivano vipi ni nzuri? Muulize Kalou.Root chuki kwa mourinho ni mbaya sana
Amani iwe juu yako, dugu yangu.Umekuja na wewe Nonda?????
Amani iwe juu yako, dugu yangu.
Najua ni kipindi kigumu cha masononeko na msongo wa mawazo. Ni kipindi cha mpito tu. Uwe unachambua soka kama zamani sio usubiri pale mnaposhinda mechi tu.
Umesikia Aston Villa amesema hakubali kubakia kule aliko peke yake anataka na Chelsea aende kule kunogesha relegation battle.
Chuki kwa Ivano vipi ni nzuri? Muulize Kalou.
Chuki kwa Pedro vipi ni nzuri? Muulize Mentor.
Kila anaetoa dukuduku lake huwa ana chuki?
Link Jose Mourinho might have just stumbled on a solution to Chelsea's problems | For The WinNawaamini wachezaji wote wa Chelsea na kuwakubali wote.....
Kutokubaliana kwa vitu debatable kupo ila sio kwenye facts....Ukisema Chelsea ni blue mimi nilazimishe ni Red ni tofauti...Ukibishia fact ni somebody else tena...
Haaaa wewe nikajua umesahau....
Ila ye nae kazidi bana, ingawa maneno yake matamu saa zingine....
Najua kwa hili ataacha maneno
Analipwa kiasi gani kwa mwaka? Alafu ukitoa hiyo 50,000£ inapunguza nini ktk hilo pato lake kwa mwaka? Au hicho ki 50,000 ni kitip tu kwa José Mourinho?
Atasema sn tu na bado atawasema vzr tu iwapo waamuzi wataboronga.... Km hiyo ban ya game moja na ije. Atafatilia mechi kwa tv na kutoa maelekezo kwa sim km game ya Munich 2005.
Mbona hivi ni vijimambo tu vidogo....
Na yeye atapewa kamba refu zaidi ili ajinanii!Teh teh teh wape Mourinho vidonge vyao....
Unaweza ukamsukuma mtu ktk benchi la ufundi na isiwe tabu......
Mtu anaweza kumuita Mike Dean dhaifu na isiwe tabu lkn José Mourinho akisema tu marefa waoga kuipa Chelsea penati.....adhabu inamshukia😀😀😀:what::what::what::what:
Na yeye atapewa kamba refu zaidi ili ajinanii!
Watazichukua kidogo kidogo, lefu 20 jana, elfu 50 leo, elfu 16.5 kesho ya kesho.
Atakaa sawa au atawekwa sawa tu, pole pole!
Hiyo inathibitisha kuwa Mou anatumia hiyo mbinu ya kuomba kubebwa na waamuzi.Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?
Wapenzi wa soka wanataka kuangalia soka mwanana na sio mpira anaofundisha Mou. Mou anaharibu mpira na vile vile anapenda mipasho.Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?
Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?
Mpayukaji anataka kukata rufaa, 50 elfu ni nyingi, wewe Ntuzu "alipo nipo" unahisi pesa si tatizo.Pesa sio tatizo kwa José. Nyie chukueni Zaidi muwezavyo. Na hakai sawa mtu hapa. Hiyo Elfu 50 waliyompiga walifikiri atakaa kimya mbona ndo kwanza kazidi kuwachimba?