Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jose Mourinho has survived a meeting of Chelsea’s board following Saturday’s disastrous 3-1 defeat against Southampton.

Mourinho feared he would be sacked after Chelsea slipped to their sixth defeat of the season and even appeared to challenge Roman Abramovich to sack him after the game.

Instead, he has been given a stay of execution and has been given the support of the board as they attempt to turn their season around.
 
they made me LOVE Chelsea !!







we will be back !!!
Ntuzu Mentor na wengine ..we will pass through this pamoja...
kalou pamoja sn Mkuu!

Binafsi sina hofu kabisa na timu yangu.....
Najua timu yetu ndio inayoongoza kwa kuchukiwa na watu wengi na kushambuliwa sn.

Ninachojua uongozi wa timu na Abramoney wako pamoja na Mourinho ktk wakati huu. So ningeweza kukosa amani km Mourinho angefukuzwa lkn kwa hali iliyopo sasaivi mambo yatakua pouwa.

#KTBFFH

One love kalou
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nasubiri kauli ya bodi ya timu......
 
Who's in the relegation battle? who's in the relegation battle? who's in the relegation battle? Sack Mourinho, BR looking for big job.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…