TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Kulikua na haja gani ya Ku qoute badala ya kujibu swali unajibu maelezo, swali langu ni " what was the result" au hujaliona hilo???
Kipigo sio mchezo, wanaweweseka tu. Msamehe tu. Macho yake yamepata dhoruba jana, hawezi kuona na kusoma kila kitu kinachoongeza maumivu yake.
Na upepo huo unaelekea wapi kwa sasa? Nieleweshe ili niufuate.Mkuu wewe unafuata Upepo tu unapoelekea ⬆↗↘⬇↙⤴⏫⏪◀▶↔
Mourinho:.... A game I thought
was fantastic."
Yes the game was fantastic but what was the result Mr.mou?
Kulikua na haja gani ya Ku qoute badala ya kujibu swali unajibu maelezo, swali langu ni " what was the result" au hujaliona hilo???
kazi anayo msimu huu huyu kocha
Sio Ivano pekee. Ze bluuuzzz yote imekuwa ni uchochoro.Ivanovic ni uchochoro..
Na FC PORTO halafu nina furaha sababu Maicon hata kuwepo
Vipi mechi ya jana?
Uliifurahiaaaa? Au uliliaaaa?
Nijuavyo Mentor alifurahi sana, na Enzo, angalia Enzo anavyocheka katika avatar yake, furaha kedekede darajani. daraja la mbao.
nashangaa rooney sijui kwa nini hayupo hapo ...........
Inaendelea.Leo ni siku ya huzuni kwa wanawake wanaotaka kuingia katika safu zinazoongozwa na wanaume Lakini pia ni siku mbaya kwa Chelsea kama klabu kwa kumwondoa dokta mrembo ambaye alikuwa anahakikisha mori ya wachezaji iko juu.
Eva Carneiro: Jose Mourinho cleared by FA over ex-club doctor
Chelsea boss Jose Mourinho will face no disciplinary action after the Football Association cleared him of making discriminatory comments towards former club doctor Eva Carneiro.
BBC Sport - Eva Carneiro: Jose Mourinho cleared by FA over ex-club doctor