Chelsea (4-2-3-1): Begovic; Ivanovic, Zouma, Terry (c), Azpilicueta; Mikel, Matic; Pedro , Fabregas, Hazard; Costa
The moment nilipoona hicho kikosi nilijua tu hii mechi hatushindi. Psychologically ukimpanga Zouma na Mikel kwenye mechi kuna mawili; unawaogopa opponents wako au hiyo mechi mnatafuta draw. Kwa mechi ya juzi sikuona sababu yoyote kati ya hizo mbili.
Kumweka pedro acheze kulia ni pigo kubwa kwa Ivanovic. Ivanovic ataonekana defender mzuri pale tu ambapo Willian ama Raires watacheza wing ya kulia. Kwa sababu wana speed ya kupanda na kushuka kwa hiyo hata pale anapojisahau na kujikuta mbele ni rahisi sana wao kushuka kuja kumsaidia. Kwangu mimi Pedro anafaa kucheza kati, namba 10 nyuma ya striker.
Ningetegemea kwa mechi kama ya juzi (kwa experience ya games tulizocheza na Everton) angwaweka Ramires na Willian wote ndani. Kisha angemrudisha Cahill kati. Zouma ndiyo ana tackles nzuri ila hana akili ya mpira. Mimi bado naamini ile defence iliyoshinda msimu uliopita inafaa kushinda na msimu huu.
kwangu mimi kwa game ya everton angepanga hivi ningejua ushindi tangu mwanzoni: (4-3-3) Begovic; Ivanovic, Cahill, Terry (C), Azpilicueta, Matic, Fabregas, Ramires; Hazard, Willian, Costa. Hakuna namna hicho kikosi kingefungwa na Everton.
Baadaye ndo uje umueke Pedro (sub: Ramires).
Kingine kinachoniumiza moyo ni Remy....kwa nini Mou hamtumii huyu kijana. For a fact, anajituma mno. It is time awe striker number 2 badala ya Falcao!!!
La mwisho nahisi kama kuna shida baada ya Eva Caneiro kuondoshwa kimajungu na Mou. Staff hawaongei na Mou kama zamani na kuna kitu tu unahisi kama mgomo baridi hivi wa wachezaji...sijui, ila ile laana ya Eva inatugharimu!
All in all, we lost...majuto ni mjukuu! Looking forward to Wednesday....
#vivaChelsea #we-will-be-back #stillChampions #ktbffh
Wewe na Ntuzu ndio mashabiki wa kweli wa hii timu, wengine wanakuja kwa matukio tu, kuna mtu alikua anajiita ENZO sijui kapotelea wapi masikini😀
Kabla ya ligi alikua anatusumbua sana kule kwetu naomba fuatilieni maendeleo yake asije akawa karudi kwenye timu yake ya mwanzo aliyokua anashabikia kabla ya kuja abromovic chelsea
Kidogo nimsahau na huyu Begovic...baada ya Matic, yeye pia alijitahidi sana kucheza nafasi yake!
Yule Kalou ameenda wapi? Alisema aachwe apumue lakini Everton waliweka pamba masikioni.
Na Ntuzu nae amekimbilia wapi?
Mentor , Kwa nini umeumia sana? Nini kimekuumiza?
EPL bhana hadi raha kipindi unanuna wenzako wanacheka...ukinuna wenzie wanacheka .....Siajabu Chelsea mkawa timu nyanya katika zile timu kubwa msimu tofauti ilivyotarajiwa.....mjitayarishe kwa hilo........[emoji12]Niliumia kwa mengi;
1. Tangu nilipoona kikosi nilijua hatushindi mechi
2. Nilienda kuangalia mechi na shemeji yako.
3. Ili kunisapoti (ingawa yeye ni Arsenal) alivaa jezi yangu ya Chelsea
4. Mbaya zaidi kwa kuwa ilikuwa J'mosi jioni nguo zangu nyingine (zikiweno jezi nyingine za Chelsea) nilikuwa nimezifua hivyo mimi nilivaa kawaida tu
5. Ushawahi kuaibishwa mbele ya demu wako wewe???
Acha bana Nonda acha bana...inauma we acha tu...for the first time nilitoka kama naenda chooni kumbe naenda kujifuta machozi. Watu wote wanamcheka yeye yani...dah! acha tu... RRONDO herrera Belo everlenk cute b acheni kututania bana...ya juzi mi iliniuma! Mbona ya Man city sikuwaomba mnyamaze..hii tu potezeeni iishe!
6. Tulikuwa tumekubaliana weekend ijayo mimi nivae jezi yake ya Arsenal yeye avae yangu. Baada ya game ya juzi eti akakataa...eti hataki kuaibika tena....do you understand what am saying guys!???? tuacheni kwa hili..yani sina raha kabisa yani...!
Halafu unauliza kwa nini niliumia Nonda???!
Niliumia kwa mengi;

Dah, pole sana mkuu kweli nimeamini umeumia, ila hyo ya kwenda kuangalia mpira na shemeji pembeni hata mi ilisha nitokea kwenye game na Swansea ile ya ufunguzi msimu uliopita, toka siku ile nilikoma hata tukienda wote tunakaa siti tofauti
Hii inasaidia sana kwa JM kudhibiti domo lake.
Bayern Munich.Pep naye yupo matatani kwa miaka 2 sasa . Bayern wanataka UCL kitu ambacho kashindwa kuwaletea vile vile mkataba wake upo katika mwaka wa mwisho (kama sikosei) akishindwa kuwaletea UCL ndio itakuwa imetoka.Germany atafundisha timu gani na yeye anataks timu zenye majina na mfuko wa uwepo
Dah, pole sana mkuu kweli nimeamini umeumia, ila hyo ya kwenda kuangalia mpira na shemeji pembeni hata mi ilisha nitokea kwenye game na Swansea ile ya ufunguzi msimu uliopita, toka siku ile nilikoma hata tukienda wote tunakaa siti tofauti
Huo ndio mpira! Una ups na downs!
Ipo siku utacheka!
Daah kuangalia mpira na demu wangu ni mpaka niwe nina uhakika tutashnda ili kila tukifunga ananihug
MentorNiliumia kwa mengi;