Peopleeeeeeeeeezzzzzzzzz aha !!! Kumbe niko humu The Bluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz #KTBFFH
Huyu anafanya maombi au anacheza mpira?
Au amezidisha dose ya ungaaaa?
Duh! Hizi za Buluuuziiiii Zimekimbia mtaa. Zinachungulia, zinapotea.
Nawatakia unywaji mwema wa chibuku ili mpate usingizi leo. Mechi ya mpira ina matokeo ya aina tatu.
Wamelazwa kibasila, pitia huko ukawasalimu.
Mou amewapa hizi chezaji ungaa? Sielewi hizi madoido , mbwembwe zao, zimelegea kama mboga ya mrenda. lolKwani vepeeeee
Nilisahau kuwa dugu yangu, Mutunzi ni baba mchungaji. Itakuwa leo ameenda kuongoza maombi na kuiombea Buluzii ikiepuke kikombe.Leo sabato atasingizia ngoja kesho tumwache leo amalize Sabato yake aje atupe majibu......
Mou amewapa hizi chezaji ungaa? Sielewi hizi madoido , mbwembwe zao, zimelegea kama mboga ya mrenda. lol
Mou amewapa hizi chezaji ungaa? Sielewi hizi madoido , mbwembwe zao, zimelegea kama mboga ya mrenda. lol
Huhuhuuuuu chelbus hoyeeeee
Hii domokaya ilikumbuka kumpa mkono Pardew mechi ilipoisha au matokeo yalimfanya achanganyikiwe?Tena hapa sijakasirika vizuri
nani kanuna?