Tangu lini Wenger akamfunga Mourinho? Utakua unaota wewe
ila stoke,spurz,villa wanaweza,c ndio?ndo mana nakifananisha haka katimu na vitimu kongwe vya vpl teh teh teh
time za saa 2 ucku uwepo hapahapa tupeane feedback mkuu!
maneno mengi sio dawa usiwe kama kale katimu flani cha magazetini kalichokatwa juzi kagame cup!teh teh
12 kamili jioni kwa saa za afrika mashariki gunnerz tutakuwa tunamtia adabu maureen pale wembley!
kumbuka hatujapoteza mechi pale kwa misimu kadhaa sasa!
2013~2014 tulibeba f.a cup hapohapo
2014~2015 tulibeba f.a cup na communityshield ktk nyasi za wembley
jiandaeni kuchinjwa na washika mtutu wa london
Nikupe no zangu za simu unitafute hapo badae?
utakuwa umefanya la maana kweli maana hamchelewag kukimbia nyuzi zenu nyie watu
ila stoke,spurz,villa wanaweza,c ndio?ndo mana nakifananisha haka katimu na vitimu kongwe vya vpl teh teh teh
time za saa 2 ucku uwepo hapahapa tupeane feedback mkuu!
maneno mengi sio dawa usiwe kama kale katimu flani cha magazetini kalichokatwa juzi kagame cup!teh teh
nawasalimia nyie mashabiki mlioanza shabikia mpira mwaka 2008 maana katika mashabik wa ajab dunian ni chelsea yan wanajiona ndio tiiiiiimu boooora kumbe hakuna kitu ila leo natabir mtashinda maana arsenal ni timu uchwara
Hahahahaa cc wote wa London tupeane support.
Kwa mnaocheck game, ngapi ngapi?