Falcao atakuja darajani, na atafanya mengi hakika aminini wadau.....CFC na Mou haifanyi makosa!
Natamani sana iwe hivyo. ingawa kwa sasa ana wakati mgumu sana to prove everyone wrong. unajua tena experience ya Torres bado iko fresh kabisa kwenye vichwa vyetu wengi wetu. na kumbuka pia tunae dogo potential sana Roic Remy ambaye kwa ufupi hajatumika kikamilifu sana. Na unajua pia tuna history ya big names strickers waliochemsha darajani i.e Chevchenko etc. no wonder kama ni opinio poll blues wengi wangesema bora tumchukue Ibrahimovic kuliko Falcao
Kuna kitu Mou atakua anakiamini na kukiona kwa Falcao lkn km atachemsha basi itakua ni aibu kwa Mourinho mbele ya LvG lkn Mou km atafanikiwa ktk hicho kitu na Falcao kurudi ktk pick Yake basi LvG ataonekana Mwalimu hafai!
Binafsi naamini Falcao atafanya vzr km majeruhi hayatomuandama na pia akipewa ushirikiano mkubwa na viungo wapishi Wa nguvu basi Falcao lazima awe moto.
Msimu ujao nahisi tutakua na magoli mengi sn ya kufunga kwasababu kuja kwa Falcao darajani kutaongeza presha ya kujituma kwa Costa na Remy hapo ndio patamu sasa! Na kuna dalili zote msimu ujao tukaweza kucheza mfumo wowote ule ata mfumo Wa kuweka strikers wawili mbele.
Duh Mourinho kweli kiboko

Falcao dream yake ilikuwa kwenda Real Madrid but Perez alikuja kuchomoa mwishoni sababu ya majeruhi,Monaco walikuwa frustrated kwani wao walitaka kumuuza moja kwa moja so only Man United wakamtaka kwa mkopo kama akifanya vizuri,
Falcao hawezi kurudia ile hali yake aliyokuwa nayo Atletico au Porto.
LVG hajachemsha kwa Falcao kumbuka alikuwa ana chance ya kuwa striker no moja baada ya RVP kuchemsha na Rooney kuchezeshwa kiungo.
Morinyo anataka back up striker kama alivyomchukua Etoo then Drogba but Drogba was the best sababu anafit vizuri kwenye mfumo wake na alikuwa Legend wa Chelsea,tayari anao Costa na Remy ambaye nashangaa Jose haumpi nafasi .
So Falcao itabidi akubali kuwa striker no 3 na muda mwingi atakuwa benchi ukizingatia bado hajawa fit na mabeki wa EPL wanamjulia sana kumkaba
Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!Kuna kitu Mou atakua anakiamini na kukiona kwa Falcao lkn km atachemsha basi itakua ni aibu kwa Mourinho mbele ya LvG lkn Mou km atafanikiwa ktk hicho kitu na Falcao kurudi ktk pick Yake basi LvG ataonekana Mwalimu hafai!
Binafsi naamini Falcao atafanya vzr km majeruhi hayatomuandama na pia akipewa ushirikiano mkubwa na viungo wapishi Wa nguvu basi Falcao lazima awe moto.
Msimu ujao nahisi tutakua na magoli mengi sn ya kufunga kwasababu kuja kwa Falcao darajani kutaongeza presha ya kujituma kwa Costa na Remy hapo ndio patamu sasa! Na kuna dalili zote msimu ujao tukaweza kucheza mfumo wowote ule ata mfumo Wa kuweka strikers wawili mbele.
Duh Mourinho kweli kiboko
Kuna kitu Mou atakua anakiamini na kukiona kwa Falcao lkn km atachemsha basi itakua ni aibu kwa Mourinho mbele ya LvG lkn Mou km atafanikiwa ktk hicho kitu na Falcao kurudi ktk pick Yake basi LvG ataonekana Mwalimu hafai!
Binafsi naamini Falcao atafanya vzr km majeruhi hayatomuandama na pia akipewa ushirikiano mkubwa na viungo wapishi Wa nguvu basi Falcao lazima awe moto.
Msimu ujao nahisi tutakua na magoli mengi sn ya kufunga kwasababu kuja kwa Falcao darajani kutaongeza presha ya kujituma kwa Costa na Remy hapo ndio patamu sasa! Na kuna dalili zote msimu ujao tukaweza kucheza mfumo wowote ule ata mfumo Wa kuweka strikers wawili mbele.
Duh Mourinho kweli kiboko
Mourinho anaamini kuwa tatizo la Falcao ni la kisaikologia zaidi kuliko ufundi! Hivyo dawa yake ni ya kisaikologia pia, na Mourinho ni mzuri sana katika hilo! Falcao anahitaji muda wa kutosha wa kuaminiwa na kupendwa! Yote hayo atayapata darajani, na atarudi kwenye makali yake hata kuzidi!
Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!
Unajua Ujio wa Falcao pale Darajani, uko tofauti sana na ujio wa Torres, Chev, Crespo, Mutu nk, hao niliowataja wamekuja wakiwa wako vizuri ila walichemsha pale Darajani ila kwa Falcao yeye tayari hayuko fit kivile, kwa hiyo akishindwa kuperfom wala haitakuwa big deal sana,
all in all Mou atamtengeneza tu jinsi anavyotaka awe
Falcao dream yake ilikuwa kwenda Real Madrid but Perez alikuja kuchomoa mwishoni sababu ya majeruhi,Monaco walikuwa frustrated kwani wao walitaka kumuuza moja kwa moja so only Man United wakamtaka kwa mkopo kama akifanya vizuri,
Falcao hawezi kurudia ile hali yake aliyokuwa nayo Atletico au Porto.
LVG hajachemsha kwa Falcao kumbuka alikuwa ana chance ya kuwa striker no moja baada ya RVP kuchemsha na Rooney kuchezeshwa kiungo.
Morinyo anataka back up striker kama alivyomchukua Etoo then Drogba but Drogba was the best sababu anafit vizuri kwenye mfumo wake na alikuwa Legend wa Chelsea,tayari anao Costa na Remy ambaye nashangaa Jose haumpi nafasi .
So Falcao itabidi akubali kuwa striker no 3 na muda mwingi atakuwa benchi ukizingatia bado hajawa fit na mabeki wa EPL wanamjulia sana kumkaba
Mou kiboko, Costa aangalie vzr falcao anaweza kumweka bench tusubili
Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!
Dada nikwambie tu km n wazo LA josee kumtaka falcao tumelamba dume lkn na hizo picha hutapata sababu ya kuzirejesha kama n uongoz Wa juu kwa maslai yao itatakuwa noma,
Wazo la kusherehekea ushindi ni zuri sana, lakini linavyoongelewa ni kama muafaka haujapatikana. Mimi napendekeza tukutane pale mlimani city jumamosi moja tukiwa na jezi zetu kama kitambulisho halafu tukaliongea na kupanga kwa ukamilifu siku na muda na mahali kwa shughuli husika. Au kama hilo tayari tualifuni, naisubiri siku hiyo kwa hamu!
nadhani hii party itabidi isubiri baada ya Ramadhani. either tuipange weekend ya kwanza baada ya Ramadhani au tuiweke kwenye Idd pili ili tuue ndege wawili kwa jiwe moja. ni pendekezo tu
Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!
So after Failcow miserably fail to shine as a proper striker at a Manchester United now he's on the verge to try to
become a defensive striker at Chelsea.
Ngoja aje alete kilio hapo Emirates ndio mtakuja kujua kua ni defensive striker au offensive striker!:what::what::what:
Kama alivyofanya msimu uliopita kwa kuanguka anguka kama mlevi wa chimpumu