hongereni wazee waku park bus.....
Mkuu tutake radhi bhana! Sisi ndio mabingwa!
na wataka radhi...!! ila matic amekuja kukatika mechi za mwisho ilo liangalieni....mble pale mkimleta lucccazette syo mbaya....afu jtahdini kucheza soccer laku posses mta cheza kwaku bahatisha ad lini...
Mou kasema kuna wapya wanakuja... Worry out
na wataka radhi...!! ila matic amekuja kukatika mechi za mwisho ilo liangalieni....mble pale mkimleta lucccazette syo mbaya....afu jtahdini kucheza soccer laku posses mta cheza kwaku bahatisha ad lini...
Bado unatuvunjia heshima Mkuu! Tunacheza soka la kubahatisha kivipi Mkuu wakati sisi ni timu ambayo haijafungwa na timu yoyote ile ya top four kwa misimu miwili?
Asante....
Aya tuongee sasa Mkuu
ahaaaaaaa......ila itakuwa ngmu kutetea huo ubingwa msimu ujao.