Hahahaha!!! Mimi ninune wakati nakuja kuchukua heshima zangu hapo......mimi naona ndo nyie muda si mrefu mtaninunia..... b5-click anatamani hata anipige ngumi hapo alipo..... Lol usinichukie mpendwa wangu.Mi namtizama tu ujue.....maana mi naogopa nikianza kumpa zake ataninunia....na Mimi kununiwa na everlenk naona km adhabu lol.
We mpe tu uwezavo.
Hahahaha!!! Mimi ninune wakati nakuja kuchukua heshima zangu hapo......mimi naona ndo nyie muda si mrefu mtaninunia..... b5-click anatamani hata anipige ngumi hapo alipo..... Lol usinichukie mpendwa wangu.
Mmmmh umeona kikosi kinachotakiwa kucheza?
Hebu niambie mtakatiza wapi?
Jmosi saa moja usiku tunakwenda kudhihirisha dunia kua sisi ni timu bora England....
Nyie pangeni muwezavyo ila kipigo halikwepeki lol..... Hata baba yako Mou analijua hilo ndo maana akasema itakuwa ni mechi ngumu sana.......
Uzuri ni kwamba tunatambua kua ili tuwe mabingwa lazima tuwafunge nyie na gunners....yani vyovyote vile mtakavo kuja kipondo kiko pale pale....ata km baba yangu Mou kasema mchezo utakua mgumu...ni kwamba mtaleta usumbufu kidogo lkn sisi tumeshaziba mianya yoote ya kupitisha hilo shetani lenu.
Siku zina yoyoma.... Leo j5 ni kitambo kidogo tu ngoma inakua uwanjani.:thumbup:
Mi namtizama tu ujue.....maana mi naogopa nikianza kumpa zake ataninunia....na Mimi kununiwa na everlenk naona km adhabu lol.
We mpe tu uwezavo.
Mna pesa sawa.. Sisi tuna pesa na abramoneyHahahaha!! Yaani nyie mtupe nafasi nzuri kwenye hilo ghetto lenu tuwaonyeshe mpira unachezajwe.....msifanye hujuma zozote za brown envelope wala nini hata nguvu ya pesa hata sisi tunayo .....lol
Hahahaha!!! Mimi ninune wakati nakuja kuchukua heshima zangu hapo......mimi naona ndo nyie muda si mrefu mtaninunia..... b5-click anatamani hata anipige ngumi hapo alipo..... Lol usinichukie mpendwa wangu.
Haaaaaah... Kumbe ananunaga pia!? Sio vizuri hivo mama
Mna pesa sawa.. Sisi tuna pesa na abramoney
Mcheza kwao hutunzwa.. Bingwa lazima alindweeeee
Aaah sikupigi ngumi Mimi... Labda zile njia nyingine
Na jmosi nakutoa machozi kwa kuchukua point 3

Mentor Ntuzu b5-click na Manumbu, how do you plan on stopping Red Devils' left wing of Young and Blind?
Maana Man Utd huwa wanachezesha kigodoro upande huo wa uwanja (waulizeni City) na kama sikosei match yenu ya Spurs mliyokula bao 5, magoli kama 4 yalipitia upande huo (kulia kwenu kwa Ivanovic na Cahili) sasa what are the plans Wakuu?
Mourinho karibu sn Mkuu...na hongera kwa ushindi mfinyu Wa juve Jana dhidi ya Monaco..najua ukiingia ktk anga zao huko France utapata shida ingawa najua juve wakiwa away hua wazuri kuliko nyumbani na hasa baada ya kupitia mijanda ya video ya hii first leg...lkn ngoma bado ni ngumu sn Mkuu.
Mkuu kuna maelezo mengi hapa nyuma tumetoa tangu juzi ya namna ya kuizuia ManU... Labda niseme kitu kimoja ManU sio km inacheza upande mmoja tu...inacheza pande zote...na sisi tumejaribu kupanga na kuona ni namna gani tunaweza kuwazuia hawa kwanza alafu tuwafunge....
Unaweza kupitia hoja hapo nyuma ziko nyingi sn...
Unaona ushakuwa jeuri kama baba yako.... Toa maelezo usimpe mkubwa wako kazi ya kutafuta tafuta mafail humu bana, Mou mwenyewe keshazeeka hata macho hayaoni vizuri ndo maana yuko na watu wazima wenzie kina Juve.... Lol

Safiiiiii ,hilo swali gumu sana kwake wenyewe wanashangilia tu kwamba Carrick hayupo so hao wote watakuwa hawana nguvu.