Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu kama hizi zinaitoa jasho Chelsea namna hii, hata kushinda kwake kunahitaji shabiki asiye na magonjwa ya moyo na kisukari. Akikutana na timu kama Arsenal au Man U atatoka kweli.
 
Hii mechi nilikuwa siumii Sana maana mchana nilicheza na QPR vs CHELSEA kwenye ps3 niliwafunga 7 zero
 
Timu kama hizi zinaitoa jasho Chelsea namna hii, hata kushinda kwake kunahitaji shabiki asiye na magonjwa ya moyo na kisukari. Akikutana na timu kama Arsenal au Man U atatoka kweli.

Ebu tupe statistics zinasemaje alipokutana na Arsenal na Man U?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…