Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntuzu Manumbu Mentor Viol na Chelsea fans wote please some hii article kutoka ESPN
 
Mkuu https://www.jamiiforums.com/member.php?u=162152 poleni sana aiseee.
 
Huyo fomer pl referee ali state vizur sana ni wakat wa fifa sasa kulfanyia kaz "only the captain can approach the referees during a game" anyone else needs to knw they wll b booked.👌👌👍👍
 
Mkuu Ntuzu isome hii article kutoka BBC Sports utaona kwamba kuna ambao wanamuunga Ibra.
 
Kwa kifupi jamaa wa ESPN kasema hivi:

1.chelsea walitaka sana IBRAHIMOVICH awe booked,na walifanikiwa
2.oscar ni good actor kama jina lake
3.mourinho alianza maneno kabla ya game ili kumu inflence refa,na alifanikwa.
4.kwa muda mrefu game ilikuwa hovyo
5.baadae sana football ikaanza kuchezwa,ingawa PSG walikuwa 10 lakini walionyesha kile tulichokiona Paris,kuwa wao ni superior na wali deserve kushinda na Mourinho alikiri hilo!
6.PSG ndio ilikuwa timu pekee iliyotaka kushinda, verrati,pastore,matuidi na diego motta ndio waling'ara uwanjani!
7.Premier league itakosa mwakilishi kwenye CL labda arsenal wafanye maajabu
Ntuzu kama hakuna jipya hapa nafikiri uache kulalamikia hii game, you deserve to go home! japo kupigwa na 10-man side inasikitisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu BAK RRONDO tutaendelea badae kidogo.


Kazana ushinde EPL sasa, ukichanganyikiwa hata hilo kombe la ligi laweza kuwa mtihani.

UCL sio ligi rahisi kihivyo, timu yoyote ikiingia hatua za mtoano huwa zinakuwa ngumu kufungika, angalia Real Madrid walivyohenyeshwa na Schackle 04, japo nao wapo vibaya sana sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…