Wakuu kwa matazamo wangu huu mwezi wa tatu umeshakwisha kutokana na ratiba ninavoiona hakuna game ya kututisha ili kudondosha point.
Tuna mchezo mmoja wa CL na mitatu ya EPL nafikiri na ile game iliyokua postponed tunaweza kuicheza ndani ya mwezi huu. lkn next month tutakua na michezo miwili mikubwa mmoja tutakua away kwao Gunners kwa kina BAK na mwingine tutamkaribisha 2nzi na RRONDO na everlenk.
Itakuwa ni raha iliyoje katika mchezo huo tukiwachapa 2-0 furaha haitaishia kwetu tu bali itasambaa hadi Manchester City kwa kuwasaidia kupunguza speed yenu. Yes we can 🙂
If only wishes were air...!!!
Kwa mabeki wapi mlionao please...niambie tu. Nitajie back four yenu tuone uwezo kwanza hata wa kutoka 0 - 0.
Si unaijua lakini EPL, siku nyingine yale ambayo wapenzi wa kandanda wanaamini kabisa hayawezi kutokea hutokea. Nani aliamini kama New Castle wangewafunga Chelsea 2-1? Yes we can.
So Arsenal is the new Newcastle?
What am saying is...we are now more determined than before. We can smell victory...the cup!
Sasa hivi itakuwa ngumu sana kutufunga...
Itakuwa ni raha iliyoje katika mchezo huo tukiwachapa 2-0 furaha haitaishia kwetu tu bali itasambaa hadi Manchester City kwa kuwasaidia kupunguza speed yenu. Yes we can 🙂
Wakuu kwa matazamo wangu huu mwezi wa tatu umeshakwisha kutokana na ratiba ninavoiona hakuna game ya kututisha ili kudondosha point.
Tuna mchezo mmoja wa CL na mitatu ya EPL nafikiri na ile game iliyokua postponed tunaweza kuicheza ndani ya mwezi huu. lkn next month tutakua na michezo miwili mikubwa mmoja tutakua away kwao Gunners kwa kina BAK na mwingine tutamkaribisha 2nzi na RRONDO na everlenk.
Si unaijua lakini EPL, siku nyingine yale ambayo wapenzi wa kandanda wanaamini kabisa hayawezi kutokea hutokea. Nani aliamini kama New Castle wangewafunga Chelsea 2-1? Yes we can.
Mkuu huyu Nonda ni mtu na akili zake timamu kabisa na ni mpenzi wa mipira na anafatilia habari vzr kabisa za michezo. Na ata km timu ikifanikwa anatoa pongezi, mfano ni juzi tu alitoa hongera kwa kuchukua kombe.
Lakini huyu Nonda anapenda sn kutaniana ndio maana utamuona anarusha matani km hayo lkn ni shabiki mzuri na ukweli anaufahamu vzr. Niseme tu kwamba tunawahitaji watu km hawa na pia tutumie lugha nzuri ktk kuwajibu watu km hawa maana ndio maana ya michezo, Upendo,Urafiki etc. mi naamini tukichukua ndoo tena ingine atakuja hapa na kutupongeza kwa mafanikio yetu japo ata kuitanitani lkn pongezi atatoa.
Pamoja sn mkuu.
Yes we can too...... Pamoja na huu udhaifu wangu ntawapiga wote,lol!!!! usinune basi..........
Wakuu kwa matazamo wangu huu mwezi wa tatu umeshakwisha kutokana na ratiba ninavoiona hakuna game ya kututisha ili kudondosha point
John Terry: Jose Mourinho says Chelsea will offer captain new deal
Chelsea captain John Terry will be offered a new contract by the Premier League leaders, according to Blues manager Jose Mourinho.
The former England skipper's current deal expires at the end of the season.
Centre-half Terry, 34, has made more than 550 appearances for the London club since signing professional terms in 1998.
"I can guarantee he will be a Chelsea player next season," said Mourinho. "No doubts he's going to get his contract."
Terry is likely to be offered a new one-year deal as Chelsea have a policy of awarding only 12-month extensions to players over the age of 30.
Named man of the match in Sunday's Capital One Cup final after scoring the opening goal in his side's 2-0 victory over Tottenham Hotspur at Wembley, Terry said he wanted to stay at Stamford Bridge.
"If this is my last year, then I hope it goes out on a bang," he said. "But I am feeling great at the minute and it would be the wrong time to go."
Terry captained Chelsea to two Premier League titles in Mourinho's first spell at Stamford Bridge but was not always selected by interim boss Rafael Benitez during an injury-troubled 2012-13 season.
The Blues lead the Premier League by five points with 12 games to play and have a game in hand on second-placed Manchester City.
They face West Ham at Upton Park on Wednesday.
BBC SPORT
Uyu jamaa bado anazo nguvu za kuisadia team. Naona akimiss kama ukuta wenu uwa unayumba kiasi, anastahili mkataba