Hilo tukio halijafanywa na club ya chelsea, linawahusu mtu au watu wachache binafsi. Club ya Chelsea ni nzuri na waungwana sana ndiyo maana hawakubaliani na kitendo hicho cha watu binafsi wachache.
Doh! Habari ya mwaka 2000?!? Halafu mimi naongelea Chelshit siyo Everton. Wewe jamaa wa wapi?!?
Shitty club with bunch of racists...
Kajipange upya arifu....hapo Chelshit wanahusika....hivi kwanini shabiki wa timu akitoa racist slurs kiwanjani, timu umwadhibi yeye, ila na timu inapokea bakora zake kutoka FA?!?
wewe uliweka link ya mwaka gan?
umelazimishwa kuja hapa mkuu ,? naona kama unaumia sana,
I give up 🙌🙌🙌
Nitakuja na kusema lolote lile nijisikialo ilmradi sivunji sheria za JF..
Siwezi kuumia kwa bunch of racists...
Karibu inzi weekend hii tuone unakuja na Nini! Mojawapo ya raha ni kuona jinsi watu wanavyoisagia meno chelsea!
Shitty club with bunch of racists...
Babu wenu alieondoka OT na sifa za kuchukua makombe Mzee Alex F na nguli wenu David Beckham walifunga safari na kuacha shughuli zao mpk jiji Paris kuangalia SHITTY CLUB km ulivosema, hii ikiwa na maana kwamba na wao ni mashitty kwasababu wamekwenda kuangalia shitty club......teh teh teh teh mdudu acha hizo wewe.....Chelsea timu kubwa weye, ndio gumzo ya dunia wewe.....
Ukubwa wa timu haupimwi kwa msimu mmoja tu, huwezi kulinganisha utukufu wa Man U na Chelsea ndani ya England.
Ukubwa wa timu haupimwi kwa msimu mmoja tu, huwezi kulinganisha utukufu wa Man U na Chelsea ndani ya England.