hujui lolote wewe ulaya nzima na dunia nzima wanamkubali alafu wewe mtz unaonaongea ndo ulete zako....

Kazi ya mourinho ni kusajiri wachezaji wakubwa na kuwasimamia mazoezini tu hana mbinu za ushindi
 
Umesma vema mkuu...............
 
Utakuja kuona ubora wa kuachia makombe mengine.....

Hapana mkuu. Siyo kweli. Jana CHL ilizidiwa kama ilivyofungwa na Tottenham kwenye EPL. Hakuna timu inayopenda kufungwa au kuachia makombe. Huwezijua kesho mechi itakuwaje.
 
Hapana mkuu. Siyo kweli. Jana CHL ilizidiwa kama ilivyofungwa na Tottenham kwenye EPL. Hakuna timu inayopenda kufungwa au kuachia makombe. Huwezijua kesho mechi itakuwaje.

hapana hatukuzidiwa Stats zinaonyesha tuliongoza kwa kila kitu tatizo ni DHARAU ndio iliyopelekea tukafungwa....wachezaji kiakili walijijengea kua hiyo ni timu ndogo lazima wataipiga kumbe mambo hayako hivo...
 
sometimes football is not fair

sorry football is fair game
 
Mourinho ni kocha mzuri na hakuna wa kufananisha naye katika dunia ya soka kwa wakati huu.

Mkuu mourinho alipokuwa na Porto alikuwa ana paki bus.alivyoenda Chelsea akawa anapark bus,alivyoenda inter Milan akawa anapark bus,akawa kocha wa club kubwa na bora duniani akawa ana park basi.akarudi Chelsea game za msimu huu man city,man u,Liverpool zote anapark bus
 
hapana hatukuzidiwa Stats zinaonyesha tuliongoza kwa kila kitu tatizo ni DHARAU ndio iliyopelekea tukafungwa....wachezaji kiakili walijijengea kua hiyo ni timu ndogo lazima wataipiga kumbe mambo hayako hivo...

Hata mechi na Liverpool inabidi wakomae.
 
Senegal ktk Wc ya mwaka 2002 ilipaki bus ikaimfunga mkoloni wake.................kote huko ulikotaja alikopita Mou na hiyo mbinu yake aliacha mafanikio....

J4 LFC wakija Darajani ndio siku yao ya kufa na nitakuita hapa uje uendeleze pumba zako dhidi ya Mou.
 
Hata mechi na Liverpool inabidi wakomae.

Akomae nani LFC au Chelsea? BR anajua vizur kabisa kua akija darajani kuna hali ngumu alilisema baada ya mechi yetu na wao tarehe 20 kwamba hapendezwi na matokeo....
 
Watu wameshamjulia ndio maana hana jipya
Msimu 2012/13 hakuchukua kombe lolote katika makombe ma3 aliyokuwa anashiriki akiwa na real Madrid,msimu 2013/14 hakuchukua kombe lolote kati ya mako be ma4 aliyokuwa anashiriki na Chelsea.msimu wa 2014/15 kati ya makombe ma4 moja kabwaga manyanga
Huyu ndie kocha bora ulaya?
 
Huna hoja wewe kalale
 
kaka za siku nyingi. nimepita tu kuwasalimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…