Mind the Gap!!!!
Usiwe mkali, kalou...tunajua inauma sana lakini tulimiambieni mkawa mnatunini vile?
Sasa wacha tucheke bila kutoa sauti kwa sababu mnaweza kututilia mashaka kama mnavyomshuku yule Mr. wa kama hutaki una-Wacha1.
Mosi,Tulia, tulia tuli sindano ikuingie vizuri.
Pili, sema "cheese"
Mr. Mind the Gap, Kalou ndoto/njozi moja imezimwa leo, tena na kajikatimu cha shamba.
Link Chelsea manager Jose Mourinho wants Quadruple glory insists Blues star Cesc Fabregas - Mirror Online
Link BBC Sport - Chelsea midfielder Nemanja Matic backs team for quadruple
Hata hivyo huku napata kwi kwi kwi, haha haaa , heee bubu, natoa mkono wa pole kwa ndugu yangu, lafiki yangu, mtani wa michezo Kalou na Ntunzu.
Kuna msemo huu, kujikwaaa si kuanguka!
Nimkumbusheni tu, msimu huu hampati kitu, si ndoo, kikombe wala ngao.
Mwenye matokeo atuwekee jamani mbona wachoyo hivyo? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Usilie mwana ukaniliza na mie.Naona unalila lia tu hapa..
Amejifichia wapi leo?Ahsante mkuu...sema mwenye ujumbe wake ameupata
Acha kujaza server kwa visababu vya kujifajiri.Tuna Man city next match, nafikiri ataanza
Ivi 4th round FA kuna home and away?
Ukikutana na Ntunzu huko umwambie anahitajika huku kwenye msiba. Mwambie kalou anahitaji kupewa "tough" hawezi kuomboleza peke yake.. Pia mwambia anakosa uhondo huku, karamu inaliwa na watani tu waandaaji wa karamu wamesepa.Napita tu kusalimia na kutoa salamu za rambirambi me naelekea OT...
Huu wote ni ujinga wa Morinho
Basi halikuwepo leo, liko gereji kupakwa rangi mpya.Mh! kwani lile bus leo halikuwepo?
£200M CHELSEA STUNNED IN FA CUP BY £7,500 BRADFORD!
''Chelsea's £200million men were sunk by a supermarket shelf stacker who was plucked from non-league obscurity for the princely sum of £7,500.
James Hanson was the only member of the Bradford City squad at Stamford Bridge to have cost the club a fee when he joined the League One side from Guiseley in 2009.
The rest of Phil Parkinson's parade of heroes were stitched together by a mixture of free transfers and low-key loan deals.
In contrast the total cost of Jose Mourinho's shocked stars clanged the £200m mark.
Even £99m of talent on the bench alone could not rescue Mourinho from the most embarrassing moment of his managerial career as the Bantams proved worth their weight in gold.
CHELSEA
PETR CECH: £7m
ANDREAS CHRISTENSEN: trainee
KURT ZOUMA: £12m
GARY CAHILL: £7m
CESAR AZPILICUETA: £6.5m
RAMIRES: £20m
OSCAR: £25m
JOHN OBI MIKEL: £4m*
MOHAMED SALAH: £11m
DIDIER DROGBA: free
LOIC REMY: £8.5m
Subs: Cesc Fabregas - £30m, Nathan Ake - trainee, Eden Hazard - £32m, Thibaut Courtois - £5m, Willian - £32m, John Terry - trainee, Ruben Loftus-Cheek - trainee
TOTAL COST: £200m
* plus compensation
BRADFORD
BEN WILLIAMS: free
STEPHEN DARBY: free
RORY McARDLE: free
ANDREW DAVIES: free
JAMES MEREDITH: free
BILLY KNOTT: free
GARY LIDDLE: free
FILIPE MORAIS: free
ANDY HALLIDAY: free
JAMES HANSON: £7,500
JON STEAD: loan
Subs: Alan Sheehan - free, Billy Clarke - free, Francois Zoko - loan, Mark Yeates - free, Jason Kennedy - free, Christopher Routis - free, Matthew Urwin - free
TOTAL COST: £7,500''
ahahahaha. Hii ndiyo FA cup. Kuanzia jana mpaka leo ni shiiida!Hamjambo humu ndani? Poleni sana wapendwa lo ilikuwa kazi nzito ndo vile tena hilo ni soka.
Ntuzu Viol kalou MEANDU Bantu lady