Remmy si alikataliwa na Genius BR..!! akaamua kumchukua Baloteli..
"This, after all, is the same player who
failed a medical at Liverpool last
month. If he was not fit enough for
their manager Brendan Rodgers, how
come Jose Mourinho appears ready to
invest £10.5m in him."
Rugby au Mieleka?Mwanaume kazini
Wanacheza mieleka hapa au?
Siku zako za na kulia lia kulia zinakaribia.. Mind games eeh?Naona unalila lia tu hapa..
Siku zako za na kulia lia kulia zinakaribia.. Mind games eeh?
Uliona mieleka na dives za jana?
Siku zako za na kulia lia kulia zinakaribia.. Mind games eeh?
Uliona mieleka na dives za jana?
kila mtu alioona ...
The rest of the clubs in the premiership should do all possible to stop Chelsea from getting Cuadrado. He is a beast! If he goes there I can absolutely see them repeating next year. Hes an incredible player.Wakuu kuna mtu karusha hii comment mtandaoni. naomba kujuzwa huyu Cuadrado Mkolombia ni mbaya kiasi hiki? nasikia tunataka kumchukua kutoka Fiorentina nadhani. Wakuu Ntuzu, kalou @Agost 8 mna habari zozote za huyu jamaa?
Mou alizingua kumuacha OSCAR
Mliutafuta mpira kwa tochi dakika zote 90!My wife nimeangalia nae reply leo dakika zote hadi akauliza kama Chelsea walipanga kikosi C?
Nikamhakikishia kuwa hadi Costa na Hazard walikuwepo