Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #20,421
salamu mkuu,tunasubiri points 3niwasalimieni humu jamvini
salamu mkuu,tunasubiri points 3
hahahahah muhimu maaana leo tutaweka historia ya kuto fungwa mechi 24 mfululizo
Mkuu mechi 24 unajumlisha na uefa au? Maana premium league hii mechi ya 15
mikel anatunyima ushindi wapi matic leo?
Nilisafiri kikazi kidogo Ntuzu!Namibia wao wanapenda rugby walinikera sana week zote hizi 2!
Nimefika hom jana usiku na nipo kwenye TV sasa,Ayoze Perez sio mtu mwema hasa akiwa St Andrew Park!!
Una game ngumu sana leo ndugu yangu
Unajua hawa Newcastle hawakutegemea kufika half time 0-0. Hii itawapa confidence ya kutafuta goli. Nadhani na sisi tutakaza zaidi 2nd half. Ikiwezekana Costa abadilishwe aingie Remy amalize mambo.