Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Vs Schalke 04 in pictures
 

Attachments

  • 1416953084689.jpg
    88.1 KB · Views: 250
  • 1416953100675.jpg
    89.6 KB · Views: 106
  • 1416953116328.jpg
    77.4 KB · Views: 103
  • 1416953132513.jpg
    85.9 KB · Views: 104
  • 1416953149885.jpg
    140 KB · Views: 100
  • 1416953164996.jpg
    61.4 KB · Views: 96
  • 1416953180448.jpg
    89.4 KB · Views: 95
  • 1416953195891.jpg
    160.4 KB · Views: 100
RRONDO ndugu yangu kuzidi kuisema vibaya Chelsea hii inayo mpiga mtu home and away ni kujipa EWENDAWAZIMU kaka!

Tukubali tu kuwa mwaka huu wapo vizuri!Mm na ww hatuna team kaka

bro wapi nimesema vibaya....nilikuwa nachat na Salamander kuhusu timing za hizi mechi na mimi nika insist kwanini wanafuata muda wa UK....then out of nowhere Viol kaniquote na kaongea kitu ambacho hakihusiani kabisa na mazungumzo yangu na salamander....kuhusu chelsea huu kuwa mwaka wao nishasema mara milioni kabla wewe hujagundua timu yako ni mbovu kuliko mwaka jana mara mia ila mlifikiri wabovu ni man utd.

chelsea atachukua ubingwa its a one horse race.
 
Last edited by a moderator:
Malafyale, RRONDO karibuni naona mliaga na kuingia mitini lkn hamna jinsi lazima mrudi. Karibuni. Si mnajua sayari yetu ni ya bluu? Vueni jezi zenu tuwavishe jezi za bluu. They are universal. Na mtakuwa na uhakika wa kuwa na chama la Ushindani miaka yote ijayo
 

Inakutosha EPL tu!Hauna team ya kumsumbua Bayern,Barca wala Madrid
 
RRONDO ndugu yangu kuzidi kuisema vibaya Chelsea hii inayo mpiga mtu home and away ni kujipa EWENDAWAZIMU kaka!

Tukubali tu kuwa mwaka huu wapo vizuri!Mm na ww hatuna team kaka



Asante sn mkuu kwa hilo
 



Asante sn RRONDO kwa kuanza kututangaza mabingwa kabla ya December Au Mei...!
 
Last edited by a moderator:
Sio tu watatutangaza mabingwa mapema, lakini watavua magamba yao na kuhamia Chelsea moja kwa moja! tuwakaribishe tu.ila tuwafunze lugha za uungwana zilizoko huku. zile lugha za akina malafyale waziache huko huko kwa looser poolers!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kuna kitu cha ziada kuhusiana na Maurinho. Anawajua wachezaji wake sana mpaka kwenye personal life style. Maurinho anajua discipline ya Drogba na uwezo wake na of course umri wake. anajua jinsi ya kumtumia na kupata the best out of him. sio bure. ndio maana jana Drogba alikimbilia kwenye bench kwenda kumshukuru kocha wake na wengineo. Drogba akitumiwa vizuri atafanya makubwa pamoja na limitation ya umri aliyonayo. kikubwa tu ni yeye pia kuweka discipline ya mchezo mbele, kitu ambacho kabahatika kuwa nacho. tusisahau pia yupo Remy pale nje. sio kwamba ni mbaya au Maurinho anamwona hafai, hapana. bado yuko kwenye maandalizi na pia kumweka sawa kwa hii busy december. kwa ujumla kila mtu yuko vizuri na pazuri kwa ajili ya kuichangia timu. angekuwa kocha mwingine jana angemweka Remy badala ya Drogba lkn kumbuka tayari goli 3 zilishapatikana na hakukuwa na haja ya kumaliza nguvu nyingi ktk kipindi kilichosalia. Drogba alifit zaidi kuliko Remy! Namkubali sana Maurinho kwa namna anavyojua kutumia rasilimali alizonazo


 



Mkuu Manumbu Asante Sana kwa maoni yako mazuri... Naomba nikuulize swali jingine Dogo, kutokana na hiyo nidhamu ya Drogba na kuzidi kwake kufanya vzr kwa maslahi ya timu unaona akimaliza mkataba wake Huu anaweza kupewa mkataba mwingine tena?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…